Rwanda's GDP equals Nakuru County GDP

Rwanda's GDP equals Nakuru County GDP

Hakuna taarifa iliyo juu ya taarifa ya Forbes, Kenya hakuna Millionaire au Billionaire hata mmoja anae tambulika na Forbes magazine au hata fortunate magazine..hata Mmoja hakuna

Tanzania wapo
•Mo Dewj
•Rostam Aziz
Said Salim Bakhresa
Reginald Mengi
Ally Awadh
Shekhar Kanabar
Shubash Patel
Fida Hussein Rashid
Yusuf Manji
Salim Turkey
•Ghalib Mohammed

And the list goes on ....

Tanzania ndio taifa la Kwanza ukanda wetu huu Africa mashariki na kati kua na billionaire wa Kwanza ,( Rostam)
Na Tanzania ni taifa la Kwanza tena kuzalisha billionaire wa pili ( Mo Dewj)

Bakhresa huenda ndie tajiri Zaid huu ukanda , biashara zake ziko kwenye mataifa 8 so far.. (ni msiri Sana)

Kenya hata Alie cross Dolla mil 100 tu hayupo , mkae kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu leta hiyo link ya Forbes tuone ama Fortunate magazine
 
Kenya ni omba omba tu hio lugha ya good faith ni usanii,uhakika wa msosi wenyewe hamna afu mnajifanya Gdp sijui imefanya nini.

Saidia baaaaaaaaba,saidia baaaaaaba.
Niambie ni lini kenya iliomba ipewe chakula cha msaada kutoka nchi yoyote ile
 
Mkuu huyu jamaa ni kiazi hajiulizi kwanini hiyo misaada ya chakula inaenda Kenya tu, mara USA ,Russia, China, nk kwanini wasipeleke hiyo misaada nchi nyingine kama Tanzania au South Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa viazi hawataki kukubaliana na ukweli na wakati rais wao alikiri mwenyewe hadharani kuwa "Kenya cannot feed itself"
Au wanadhani hiyo misaada inakuja tu yenyewe bila rais wao kuomba.
 
GDP imekaaje ? Production/population = icome per capita . Utalinganisha kweli Nakuru na Rwanda ? Usiidhalilishe Rwanda !

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuru county population is 1.5 million people and Rwanda population is 11 million people and they both share the same GDP. Common sense should tell you that Nakuru County is more efficient and effective in terms of utilization of resources than Rwanda
 
Hebu leta hiyo link ya Forbes tuone ama Fortunate magazine
Beba jina lolote hapo zama nalo Forbes huko utakutana na kasheshe zao

Na hapo Kuna matajiri kibao hawapo.
Mfano huyo Awadhi (mmiliki wa Like Oil), baba yake ndie mmiliki wa Azania , hii kampuni iko kwenye mataifa 5. (Ni msiri mno), Kaka yake pia nae yuko kwenye logistics...trucks Kama utitiri, wako kimyaa, kina Jitu Patel etc etc

Mfano kwenye sector ya logistics..kampuni zenye gari kuanzia 400+ ni nyingi mno , nyingi mno kwa hapa tz.. ( wastani wa gari 7 tu za mizigo wewe tayari ni millionea) mataifa yote yaliyo tuzunguka, Rwanda, burundi, Uganda , Zambia na congo tunawahudumia sisi, Zaid ya 90% ya mizigo inayoenda huko ni kampuni za hapa hapa, ..Hilo ni eneo moja tu , sijazungumza sehemu nyingine

Tofauti kubwa kati yetu sisi na nyie ni "KILELE" Yani kwenu kitu kidogo tu dunia nzima inajua , sisi huku kwetu hakunaga hiyo , ni wachache mno utawaona mitandaon huko , ni nadra Sana kupata hata details zao , ngumu mno , watu Wana keep low profile

Utajiri wenu unamilikiwa na WANASIASA huku kwetu Wafanya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuru county population is 1.5 million people and Rwanda population is 11 million people and they both share the same GDP. Common sense should tell you that Nakuru County is more efficient and effective in terms of utilization of resources than Rwanda
Sawa na una shiling elfu 1 wakagawana watu 10 , alafu upande mwingine mtu Ana laki 1 wakagawana watu 1000, alafu unakuja hapa kupiga kelele mwenye elfu moja ni sawa na mwenye laki moja .. akili za wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulienda uarabuni tukapiga magoti chini kuomba chakula cha msaada? Mtu akija kwako in good faith akuletee kitu kwa njia ya urafiki utamfukuza nayo? Hakuna mahali Kenya iliomba ipewe msaada wa chakula na nchi yoyote
Utampelekea tajiri unga?unapewa kulingana na hali yako au mlitaka waje mikono mitupu mfe njaa...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beba jina lolote hapo zama nalo Forbes huko utakutana na kasheshe zao

Na hapo Kuna matajiri kibao hawapo.
Mfano huyo Awadhi (mmiliki wa Like Oil), baba yake ndie mmiliki wa Azania , hii kampuni iko kwenye mataifa 5. (Ni msiri mno), Kaka yake pia nae yuko kwenye logistics...trucks Kama utitiri, wako kimyaa, kina Jitu Patel etc etc

Mfano kwenye sector ya logistics..kampuni zenye gari kuanzia 400+ ni nyingi mno , nyingi mno kwa hapa tz.. ( wastani wa gari 7 tu za mizigo wewe tayari ni millionea) mataifa yote yaliyo tuzunguka, Rwanda, burundi, Uganda , Zambia na congo tunawahudumia sisi, Zaid ya 90% ya mizigo inayoenda huko ni kampuni za hapa hapa, ..Hilo ni eneo moja tu , sijazungumza sehemu nyingine

Tofauti kubwa kati yetu sisi na nyie ni "KILELE" Yani kwenu kitu kidogo tu dunia nzima inajua , sisi huku kwetu hakunaga hiyo , ni wachache mno utawaona mitandaon huko , ni nadra Sana kupata hata details zao , ngumu mno , watu Wana keep low profile

Utajiri wenu unamilikiwa na WANASIASA huku kwetu Wafanya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] you so stupid it's funny. You can write nice stories though with no references

Huyo hapo Mr Awadhi ...what a nice story with no reference...look, who is stupid now...chukua jina lolote hapo peleka Google...au nikusaidie tena?
Screenshot_20200226-222251.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beba jina lolote hapo zama nalo Forbes huko utakutana na kasheshe zao

Na hapo Kuna matajiri kibao hawapo.
Mfano huyo Awadhi (mmiliki wa Like Oil), baba yake ndie mmiliki wa Azania , hii kampuni iko kwenye mataifa 5. (Ni msiri mno), Kaka yake pia nae yuko kwenye logistics...trucks Kama utitiri, wako kimyaa, kina Jitu Patel etc etc

Mfano kwenye sector ya logistics..kampuni zenye gari kuanzia 400+ ni nyingi mno , nyingi mno kwa hapa tz.. ( wastani wa gari 7 tu za mizigo wewe tayari ni millionea) mataifa yote yaliyo tuzunguka, Rwanda, burundi, Uganda , Zambia na congo tunawahudumia sisi, Zaid ya 90% ya mizigo inayoenda huko ni kampuni za hapa hapa, ..Hilo ni eneo moja tu , sijazungumza sehemu nyingine

Tofauti kubwa kati yetu sisi na nyie ni "KILELE" Yani kwenu kitu kidogo tu dunia nzima inajua , sisi huku kwetu hakunaga hiyo , ni wachache mno utawaona mitandaon huko , ni nadra Sana kupata hata details zao , ngumu mno , watu Wana keep low profile

Utajiri wenu unamilikiwa na WANASIASA huku kwetu Wafanya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
I asked for a very simple thing - a link. Hii insha yote ni ya nini?
 
Back
Top Bottom