Rwanda's GDP equals Nakuru County GDP

Rwanda's GDP equals Nakuru County GDP

Sasa bila chakula utakula nini? Udongo ama matope au utashindia miraa!
Kwa kweli bora nibaki huku kuliko niishi nchi ya kijinga kama hiyo.
Mkipigwa upande wa Gdp mnakimbilia upande wa chakula.
 
Mkipigwa upande wa Gdp mnakimbilia upande wa chakula.
Unataka niende upande wa unemployment rate,

Ukosefu wa huduma bora za kijamii,
Au hii skendo mpya ya mitungi ya changaa 😂 😂 😂

"GDP means nothing if you have no money in your pocket. Nobody eats GDP because it is not edible at all but what matters is the money in people's pockets bila kusahau chakula," he said.
 
Hivi unafahamu 90% ya omba omba Mijini ni ni watoto na wamama chokoraa wa kenya?
Idadi ya Wageni(Tz, UG,Congo etc) ni ndogo sana na wengi hapo sio maskini / chokoraa ni makajanja tu
Eti omba omba kutoka Congo na UG? [emoji1] Hebu leta ushahidi wa madai yako na hizo takwimu zako za 90%. [emoji23] Kama kawa ukiwa cornered huwa unaanza kujitungia hadithi za ajabu ajabu. Mimi sijaona hata siku moja mkongomani au mbaganda mmoja akiomba omba nchini Kenya. Siku nitakaposikia 'saidia saidia kwasababu ya maprobleme na complicasio' au 'Ssebo givu me twente shilingsi' nitatoa noti kubwa, tena fasta. [emoji1] Siku hizi hata lafudhi za kikenya huwa ni ngumu kuzisikia. Kila kona ni 'kaka kaka nisaidie na hela, 20 tu'.
 
Rwanda, one of the fastest growing economies in the world, has a GDP of Sh1 trillion, which is just about the size of Nakuru’s economy, according to a survey by the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS).
Read more here
Kenya regains position as region’s biggest economy : The Standard

Halafu hapa Bongo tunaambiwa eti Rwanda ni uchumi wa sisi kuiga pamoja na their system of governance na urais wao ni bora sana

Nendeni mkawekeane udikteta huko,nchi mavi,rais wake mavi kabisa
 
Tanzania imeingilia wapi hapa[emoji23][emoji23] yaani kila dakika mikenya ina waza tu Tz..Tz sio ligi yenu..Go compare yourselves with Nigeria which the City of lagos has a higher GDP than the whole of kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
We made them squirt ndio maana wanatuwaza tu Kila saa

Stupid kunyalanders

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti omba omba kutoka Congo na UG? [emoji1] Hebu leta ushahidi wa madai yako na hizo takwimu zako za 90%. [emoji23] Kama kawa ukiwa cornered huwa unaanza kujitungia hadithi za ajabu ajabu. Mimi sijaona hata siku moja mkongomani au mbaganda mmoja akiomba omba nchini Kenya. Siku nitakaposikia 'saidia saidia kwasababu ya maprobleme na complicasio' au 'Ssebo givu me shilingi 20' nitatoa noti fasta. [emoji1] Siku hizi hata lafudhi za kikenya huwa ni ngumu kuzisikia. Kila kona ni 'kaka kaka nisaidie na hela, 20 tu'.
Malizeni kero la chokoraa mitaani na mjini halafu muwatimue makajanja wa bongo..
Sheria za kenya zipo wazi kabisa, Lazima uwe na kibali cha kufanya kazi ama kama wewe ni mkimbizi uwe na hati ya idara ya uhamiaji.
Uzembe wa kutekeleza sheria zenu sio shida ya Tanzania..Na ukichunguza zaidi utapata sio uzembe, omba omba wa kigeni ni mtaji wa askari wa kenya
 
Unaweza kuqa na chakula halafu ukakosa hela...upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie hamna vyote, na ndio maana mnategemea misaada ya chakula,

"GDP means nothing if you have no money in your pocket. Nobody eats GDP because it is not edible at all but what matters is the money in people's pockets bila kusahau chakula," he said.
 
Tanzania imeingilia wapi hapa😂😂 yaani kila dakika mikenya ina waza tu Tz..Tz sio ligi yenu..Go compare yourselves with Nigeria which the City of lagos has a higher GDP than the whole of kenya😂😂😂
Nigeria has 200 million people driving her economy. Kenya has 49 million people driving her economy. Lagos has 14 million people driving her economy. Nairobi has 4 million people driving her economy. Does that ring something in your seemingly empty head?
 
Nyie hamna vyote, na ndio maana mnategemea misaada ya chakula,

"GDP means nothing if you have no money in your pocket. Nobody eats GDP because it is not edible at all but what matters is the money in people's pockets bila kusahau chakula," he said.
There are more millionaires in Kenya than Tanzania. There are less people in Kenya seurviving on less than a dollar a day compared to Tanzania. Sasa ni wapi ndio watu wako na pesa kati ya hizi nchi mbili?
 
There are more millionaires in Kenya than Tanzania. There are less people in Kenya serving on less than a dollar a day compared to Tanzania. Sasa ni wapi ndio watu wako na pesa kati ya hizi nchi mbili?
Nchi inayopewa misaada ya chakula ndio raia wake hawana pesa maana Wangekuwa na pesa Wangekuwa wananunua chakula Chao wenyewe na kuacha kutegemea misaada ya chakula.
 
Hii video mmekua mkiituma sana humu Leo nmeamua kuingalia ...
Honestly you guys ni watu wa ajabu sana,I thought beggars wenyewe ni watu wenye viungo vyote kumbe hao walemavu ...warudisheni Tz msituchoreshe ili muonekane watu wa maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujia basi huyo mjomba wako. Huwa tunawarudisha na wanarudi bado
 
Nchi inayopewa misaada ya chakula ndio raia wake hawana pesa maana Wangekuwa na pesa Wangekuwa wananunua chakula Chao wenyewe na kuacha kutegemea misaada ya chakula.
Chakula tunanunua kaka, from as far as Mexico. Ile ya misaada are PR stunts. Tushindwaje kununua na pesa tunayo?
 
Chakula tunanunua kaka, from as far as Mexico. Ile ya misaada are PR stunts. Tushindwaje kununua na pesa tunayo?
GMO 😂 😂 😂
Sasa utapokeaje misaada ya chakula wakati pesa ya kununua unayo?
Yaani unajisifu una pesa wakati mambo kwa ground ni different,
Ukweli ni kuwa pesa hakuna.
 
Nigeria has 200 million people driving her economy. Kenya has 49 million people driving her economy. Lagos has 14 million people driving her economy. Nairobi has 4 million people driving her economy. Does that ring something in your seemingly empty head?
Nigeria & kenya are oil producing countries..Both full of slums & unemployment..mnakwama wapi? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom