Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Mkipigwa upande wa Gdp mnakimbilia upande wa chakula.Sasa bila chakula utakula nini? Udongo ama matope au utashindia miraa!
Kwa kweli bora nibaki huku kuliko niishi nchi ya kijinga kama hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkipigwa upande wa Gdp mnakimbilia upande wa chakula.Sasa bila chakula utakula nini? Udongo ama matope au utashindia miraa!
Kwa kweli bora nibaki huku kuliko niishi nchi ya kijinga kama hiyo.
Unataka niende upande wa unemployment rate,Mkipigwa upande wa Gdp mnakimbilia upande wa chakula.
Eti omba omba kutoka Congo na UG? [emoji1] Hebu leta ushahidi wa madai yako na hizo takwimu zako za 90%. [emoji23] Kama kawa ukiwa cornered huwa unaanza kujitungia hadithi za ajabu ajabu. Mimi sijaona hata siku moja mkongomani au mbaganda mmoja akiomba omba nchini Kenya. Siku nitakaposikia 'saidia saidia kwasababu ya maprobleme na complicasio' au 'Ssebo givu me twente shilingsi' nitatoa noti kubwa, tena fasta. [emoji1] Siku hizi hata lafudhi za kikenya huwa ni ngumu kuzisikia. Kila kona ni 'kaka kaka nisaidie na hela, 20 tu'.Hivi unafahamu 90% ya omba omba Mijini ni ni watoto na wamama chokoraa wa kenya?
Idadi ya Wageni(Tz, UG,Congo etc) ni ndogo sana na wengi hapo sio maskini / chokoraa ni makajanja tu
Rwanda, one of the fastest growing economies in the world, has a GDP of Sh1 trillion, which is just about the size of Nakuru’s economy, according to a survey by the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS).
Read more here
Kenya regains position as region’s biggest economy : The Standard
We made them squirt ndio maana wanatuwaza tu Kila saaTanzania imeingilia wapi hapa[emoji23][emoji23] yaani kila dakika mikenya ina waza tu Tz..Tz sio ligi yenu..Go compare yourselves with Nigeria which the City of lagos has a higher GDP than the whole of kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
GDP ukiwa na njaa!Mkipigwa upande wa Gdp mnakimbilia upande wa chakula.
Malizeni kero la chokoraa mitaani na mjini halafu muwatimue makajanja wa bongo..Eti omba omba kutoka Congo na UG? [emoji1] Hebu leta ushahidi wa madai yako na hizo takwimu zako za 90%. [emoji23] Kama kawa ukiwa cornered huwa unaanza kujitungia hadithi za ajabu ajabu. Mimi sijaona hata siku moja mkongomani au mbaganda mmoja akiomba omba nchini Kenya. Siku nitakaposikia 'saidia saidia kwasababu ya maprobleme na complicasio' au 'Ssebo givu me shilingi 20' nitatoa noti fasta. [emoji1] Siku hizi hata lafudhi za kikenya huwa ni ngumu kuzisikia. Kila kona ni 'kaka kaka nisaidie na hela, 20 tu'.
Unaweza kuqa na chakula halafu ukakosa hela...upo?Sasa bila chakula utakula nini? Udongo ama matope au utashindia miraa!
Kwa kweli bora nibaki huku kuliko niishi nchi ya kijinga kama hiyo.
Vibanda vya kukuThis is Tanzania not compared to diesel engine train of yoursView attachment 1367377View attachment 1367378View attachment 1367379
Km alivyowadanganya nyerereKwanza Nairobi zipo Mbili
Nairobi ya mabeberu
na Nairobi ya wakenya ( SLUM) sasa ni ipi unayo zungumzia ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie hamna vyote, na ndio maana mnategemea misaada ya chakula,
Nigeria has 200 million people driving her economy. Kenya has 49 million people driving her economy. Lagos has 14 million people driving her economy. Nairobi has 4 million people driving her economy. Does that ring something in your seemingly empty head?Tanzania imeingilia wapi hapa😂😂 yaani kila dakika mikenya ina waza tu Tz..Tz sio ligi yenu..Go compare yourselves with Nigeria which the City of lagos has a higher GDP than the whole of kenya😂😂😂
There are more millionaires in Kenya than Tanzania. There are less people in Kenya seurviving on less than a dollar a day compared to Tanzania. Sasa ni wapi ndio watu wako na pesa kati ya hizi nchi mbili?Nyie hamna vyote, na ndio maana mnategemea misaada ya chakula,
"GDP means nothing if you have no money in your pocket. Nobody eats GDP because it is not edible at all but what matters is the money in people's pockets bila kusahau chakula," he said.
Nchi inayopewa misaada ya chakula ndio raia wake hawana pesa maana Wangekuwa na pesa Wangekuwa wananunua chakula Chao wenyewe na kuacha kutegemea misaada ya chakula.There are more millionaires in Kenya than Tanzania. There are less people in Kenya serving on less than a dollar a day compared to Tanzania. Sasa ni wapi ndio watu wako na pesa kati ya hizi nchi mbili?
Kujia basi huyo mjomba wako. Huwa tunawarudisha na wanarudi badoHii video mmekua mkiituma sana humu Leo nmeamua kuingalia ...
Honestly you guys ni watu wa ajabu sana,I thought beggars wenyewe ni watu wenye viungo vyote kumbe hao walemavu ...warudisheni Tz msituchoreshe ili muonekane watu wa maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Chakula tunanunua kaka, from as far as Mexico. Ile ya misaada are PR stunts. Tushindwaje kununua na pesa tunayo?Nchi inayopewa misaada ya chakula ndio raia wake hawana pesa maana Wangekuwa na pesa Wangekuwa wananunua chakula Chao wenyewe na kuacha kutegemea misaada ya chakula.
GMO 😂 😂 😂Chakula tunanunua kaka, from as far as Mexico. Ile ya misaada are PR stunts. Tushindwaje kununua na pesa tunayo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawashindwi. Yani hawa jamaa bana. Unaweza dhani wapo Canada, nenda sasa ukaona viroja.Ipo siku wakenya watatuambia GDP ya Tanzania ni sawa na Kiambuu
Nigeria & kenya are oil producing countries..Both full of slums & unemployment..mnakwama wapi? 😂😂😂Nigeria has 200 million people driving her economy. Kenya has 49 million people driving her economy. Lagos has 14 million people driving her economy. Nairobi has 4 million people driving her economy. Does that ring something in your seemingly empty head?
Ndo hizi slums zinapamba GDP [emoji23] [emoji23] [emoji23]lol vitu kwa ground [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1367690