tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Izo pesa wametoa wapi? Mmenyonywa hadi basi...mfumo wenu unaruhusu wanasiasa na viongozi kuiba mali za wanyonge ilhali bado mko na kundi kubwa la wakenya masikini!!Even Forbes lists his net worth at $500m, meaning the other figures you listed above are absolutely right. Uhuru Kenyatta is rich, but he can't reach the levels of the late Daniel Moi and Nicholas Biwott, Naushad Merali, Manu Chandaria and the likes
Hapa nazungumzia wakenya masikini wanaoishi kwa kuunga unga tu maisha ya kwenye mabati full oven
Sent using Jamii Forums mobile app