S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

Wamlipe vipi wakati kanunua eneo kimakosa na kawasababishia maisha ya tabu na mateso kwa kipindi cha miaka 20 (na wao wataomba fidia ya hasara waliyopata tangu kiwanja chao na nyumba yao kuvunjwa)
Ni maoni yako kama nilivyotoa yangu.
 
Ni maoni yako kama nilivyotoa yangu.
Ipo wazi tu mkuu kwamba haya ni maoni yangu na yale ni maoni yako hata bila ku-reply kwa kunielezea, nili-reply comment yako kama sehemu ya kubadilishana mawazo tu mkuu, mwisho wa siku kutokana na comment za watu tunapata fursa zaidi ya kujifunza. Sorry kama umenielewa tofauti
 
Kivipi,kwani hao wengine ndio waliijua sana sheria? Mbona walikuwa wanaangaika mara kuweka mapingamizi,mara kukata rufaa hadi wakafanikiwa,basi hata S.H.Amon anaruhusiwa kuomba mapitio chini ya jopo la majaji watano(5) na kama bado hajaridhika anaweza kuomba mapitio chini ya jopo la majaji saba(7) na wapo waliofanikiwa.
kwani alipokuwa anabomoa jengo la awali mpka kujenga alikuwa amekubalianana na nan kujenga kwenye kiwanja cha watu
 
Kama Benki imeuza nyumba kwa mnada kimakosa, baada ya mahakama kubatilisha mauzo. SH Amon yeye hana kosa.

Kwa vile uamuzi huu ni wa Mahakama ya Rufaa
waliokaa majaji watatu, Hamisi Bushiri Pazi & Others vs Saul Henry Amon & Others (Civil Appeal 166 of 2019) [2022] TZCA 186 (13 April 2022); | Tanzlii, bado anaweza kuomba rufaa nyingine, Mahakama wakakaa majaji watano, Half Bench
kupinga uamuzi wa mahakama ya Rufaa kumpora ghorofa lake alilojenga baada ya kununua kihalali nyumba iliyokuwepo kabla kwa mnada halali wa Benki.

Rufaa hiyo ya half bench ikishindikana, then, anakata Rufaa ya mwisho kabisa, kwa Mahakama kukaa Full Bench, Majaji 7, wakiongozwa na Jaji Mkuu, CJ mwenyewe in person, ambapo sasa uamuzi wa Full Bench ndio uamuzi wa mwisho, final and conclusive, Kwa mfumo wetu wa sheria, hivyo kilichobaki ni Kwa SH Amon anaifungulia benki kesi ya madai kudai fidia na anashinda straight away.
P
Muliza swali ameulza swali lake nje ya mada wewe unajibu mada wakati mnada haukuendeshwa na bank na si hvyo point za wadai
 
Dah imekuja kama upepo na imeaepa kama upepo!Karma
 
Kivipi,kwani hao wengine ndio waliijua sana sheria? Mbona walikuwa wanaangaika mara kuweka mapingamizi,mara kukata rufaa hadi wakafanikiwa,basi hata S.H.Amon anaruhusiwa kuomba mapitio chini ya jopo la majaji watano(5) na kama bado hajaridhika anaweza kuomba mapitio chini ya jopo la majaji saba(7) na wapo waliofanikiwa.
ishu bro hiyo miliki no ya wati sita yeye anamdai mtu mmoja katoka
Kivipi,kwani hao wengine ndio waliijua sana sheria? Mbona walikuwa wanaangaika mara kuweka mapingamizi,mara kukata rufaa hadi wakafanikiwa,basi hata S.H.Amon anaruhusiwa kuomba mapitio chini ya jopo la majaji watano(5) na kama bado hajaridhika anaweza kuomba mapitio chini ya jopo la majaji saba(7) na wapo waliofanikiwa.
ipitie vyema hukumu ya mahakama!
 
SHERIA KAZINI.
Mahakama ya Rufaa ni ya kupongezwa..
Tatizo lipo huku chini kwenye Mabaraza ya Ardhi ..
Hawa wenyeviti ni tatizo sana ni watu wa rushwa sana..
Waziri wa Ardhi kwa kushirikiana na takukuru wakitia mguu huko na imani hakuna Mwenyekiti atakaye baki..

Hawa Wenyeviti ndiyo chanzo cha migogoro ya Ardhi na Nyumba kwa ujumla wamekaa kimaslahi zaidi kupindisha sheria..

Watu wasiyo na uwezo wanaumia sana na maamuzi yao,

kama Mamlaka zinasoma ujumbe huu wapitie huko waone kulivyo na uozo.

Wenyeviti wa haya Mabaraza hawafai kabisa,sijui kama wataiona pepo ni dhuruma tu imejaa huko.
 
Hana keshi ndio maana land maki kapangisha Wana chuo pia kuuza nyumba sinza d kwa mama bite muuza gogo

Sauli ni don toka zamani haya mambo ya uchawi unamuonea wivu since 80's huko jamaa anacash, jamaa alianza kuwa billionaire akiwa 25yrs
 
Mahakama ya Rufaa ni ya kupongezwa..
Tatizo lipo huku chini kwenye Mabaraza ya Ardhi ..
Hawa wenyeviti ni tatizo sana ni watu wa rushwa sana..
Waziri wa Ardhi kwa kushirikiana na takukuru wakitia mguu huko na imani hakuna Mwenyekiti atakaye baki..

Hawa Wenyeviti ndiyo chanzo cha migogoro ya Ardhi na Nyumba kwa ujumla wamekaa kimaslahi zaidi kupindisha sheria..

Watu wasiyo na uwezo wanaumia sana na maamuzi yao,

kama Mamlaka zinasoma ujumbe huu wapitie huko waone kulivyo na uozo.

Wenyeviti wa haya Mabaraza hawafai kabisa,sijui kama wataiona pepo ni dhuruma tu imejaa huko.
Mahakama ya Rufani ni ya kupongezwa sana tu sio kidogo. Kongore kwao[emoji1433][emoji1433][emoji1433]
 
Uzi mzima hakuna aliyejadili mawakili wa familia ya Pazi wanavyochekelea sasa..
 
Hivi vitu vinahitaji utulivu na akili nyingi sana.
 
Sauli ni don toka zamani haya mambo ya uchawi unamuonea wivu since 80's huko jamaa anacash, jamaa alianza kuwa billionaire akiwa 25yrs
Mkuu punguza chumvi, alikuwa mganga njaa tu,miaka hiyo.Alikuwa anakuja home kwa mzee wangu hana hela, kampuni yenyewe kaisajili early 1999.Alipata hela kwenye uuzaji wa pombe kali na ngada na baadaye akaingia kutakatisha kwenye vipodozi.Inshort ni mjanjamjanja wa mjini,ukizubaa anapita na wewe.
 
Back
Top Bottom