S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

Nani kakwambia jamaa akiamua anaweza akavunja akachukua material zake za ujenzi usikariri akabaki kumuachia jamaa kiwanja chake
Hamna kitu cha namna hiyo ndugu,anayemiliki ardhi ndiye anayemiliki chochote kilichopo juu ya ardhi na chochote ambacho asili ya makazi yake ni ardhi hiyo. Mpaka wake ni anga ndo sio mali yake. That goes the Latin maxim: quic quid plantanto solo solo cedit. Meaning whoever owns the land,owns everything attached to that land the sky being his limit. Na mahakama imetamka wazi kuwa imewapa " property maendelezo yoyote yaliyofanyika juu ya property hiyo nyumba ikiwa sehemu ya maendelezo hayo.
 

Ambacho sijaelewa mm. Inamaana mpangaji ndo kaanzisha sekeseke la kuuza eneo?
 
Msomi hizi rufaa zako unazozungumzia unazitoa kwenye sheria au taratibu gani za Mahakama ya Rufaani???. Nakushauri kwa sababu wewe ni Mwanasheria nakumbuka nilikuacha Pale Mlimani miaka ile, ya 2000' s si vizuri ukazungumzia jambo au Mambo usiyo na hakika na nayo. Kwa mujibu wa Sheria ya Mamlaka ya Kirufani Juzuu namba 141 Mwaka 2019, Mahakama ya Rufaani ikisikiliza Rufaa , Hukuna nafasi tena ya kupinga rufaa kwa rufaa.
Unachoweza kufanya ni kuomba Mapitio (Review) kama unaamini kuna makosa kwenye hiyo hukumu. Na Majaji hao hao walioamua HUKUMU ndio watakaa kwenye JOPO la kusikiliza Mapitio. Hii unaipata kwenye kifungu cha 4(4) cha Sheria Sheria ya Mamlaka ya Kirufani Juzuu namba 141 mwaka 2019 ikisomwa pamoja na Taratibu za Mahakama ya Rufani ya Tanzania, kipengele cha 66.
Naomba niishie hapa kwa leo. Kama utakuwa nahoja zaidi tupo tayari kutoa mwongozo.
 
Maeneo yanayoongoza kwa utapeli wa viwanja Dar es salaam ni kariokoo na Bunju

Unatakiwa ujiridhishe hasa sio utani
Bunju tena? Mbona Bunju kila kitu kiko sawa. Mbezi beach na Tegeta ndio unaweza kukuta kiwanja kina hati halali zaidi ya moja
 
Sasa vita ya nje imeisha wanafamilia vs S.Amon sasa inaanza vita ya ndani wanafamilia ambayo ni mbaya na ngumu zaid
 
Mkuu mwimbule , asante kunirekehisha, nilimaanisha review
P
 
Na Hapo Saul Bado ana msala na Wapangaji wake, wapo wenye mikataba mirefu ambao atawalipa kuvunja mkataba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Shida yake ujuaji mwingi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Teh teh

Sijui nkazie

Duh unamjua kimtindo

Mzee utajir una mambo mengi kuupata anyway alijuwa kutumia nafasi lkn

Ova
 
Pascali sijui kama kashawahi ku practise taaluma yake mahakamani

Ova
 
Mkuu nimependa namna ulivyotumia kiswahili safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…