Saa 10 za gharama kubwa duniani, ya bei ndogo ni Tsh. Bilioni 11.7 aliyopewa JAY-Z na mkewe Beyonce

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani.

1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7

graff-diamonds-hallucination.jpg

2. Chopard – 201 carats - Tsh. Bilioni 58.5

nhung-tuyet-tac-dong-ho-kim-cuong-dat-nhat-the-gioi-dang-xem-2.jpg

3. Patek Philippe – Supercomplication Henry Graves - Tsh. 56.1
patek-philippe-supercomplication-henry-graves.jpg

4. Jacob & Co –Billionaire - Tsh. Bilioni 44.0

jacob-co-billionaire-diamonds-watch-26.jpg

5. Rolex Daytona (6239) de Paul Newman - Tsh. Bilioni 41.4

rolex_daytona_6239_paul_newman.png

6. Patek Philippe (1518) - Tsh. Bilioni 23.4

Patek-Philippe-1518.jpg

7. Vacheron Constantin (57260) - Tsh. Bilioni 21

Vacheron-constantin-57260.png

8. Vacheron Constantin – Kallania - Tsh. Bilioni 18.0

Vacheron-constantin-Kallania.jpg

9. Mouawad - Snow White Princess Diamond - Tsh. Bilioni 15.9

Mouawad-Snow-White.jpg

10- Hublot - Five Millions Big Bang - Tsh. Bilioni 11.7​

Untitled-1-8.jpg
 
Haya maisha kwanini yanakuwa hivi lakini?

Mtu ananunua saa (accessory) ya Tsh billion 100+ huku kuna mtu hata Tsh 2000 ya chakula (basic need) anakosa!!
Alafu wanasema tukitenda dhambi wote tutachomwa Moto mmoja. Mi nahisi hata adhabu juu ya dhambi ya aina moja zimetofautiana kutokana na aina ya watu 😄
 
Cha ajabu ni kwamba hizi za bei rahisi zina muonekano mzuri kuliko hizo za mabilioni
 
Tena dhambi yenyewe inayokupeleka motoni ni kubet.. Tena na mkeka uliochanika.. Imagine
 
Cha ajabu ni kwamba hizi za bei rahisi zina muonekano mzuri kuliko hizo za mabilioni
Iweke mkononi mkuu ndio utajua uzuri wake...pia utashangaa watu watakavyokua wanakodoa macho.
 
Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani.

1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7

graff-diamonds-hallucination.jpg

2. Chopard – 201 carats - Tsh. Bilioni 58.5

nhung-tuyet-tac-dong-ho-kim-cuong-dat-nhat-the-gioi-dang-xem-2.jpg

3. Patek Philippe – Supercomplication Henry Graves - Tsh. 56.1
patek-philippe-supercomplication-henry-graves.jpg

4. Jacob & Co –Billionaire - Tsh. Bilioni 44.0

jacob-co-billionaire-diamonds-watch-26.jpg

5. Rolex Daytona (6239) de Paul Newman - Tsh. Bilioni 41.4

rolex_daytona_6239_paul_newman.png

6. Patek Philippe (1518) - Tsh. Bilioni 23.4

Patek-Philippe-1518.jpg

7. Vacheron Constantin (57260) - Tsh. Bilioni 21

Vacheron-constantin-57260.png

8. Vacheron Constantin – Kallania - Tsh. Bilioni 18.0

Vacheron-constantin-Kallania.jpg

9. Mouawad - Snow White Princess Diamond - Tsh. Bilioni 15.9

Mouawad-Snow-White.jpg

10- Hublot - Five Millions Big Bang - Tsh. Bilioni 11.7​

Untitled-1-8.jpg

Ndo Ile unakuta mtu anafosi kuweka pozi saa ionekane
 
Back
Top Bottom