Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Kawaida, wewe unakuta unanunua bundle la buku 2 wakati kuna mtu anatafuta buku apate mlo wa mchana anakosa. Kila mtu ni extravagant kwa uwezo wake. Hata wewe kuna anayekuona unaharibu pesa hapo ulipo.Haya maisha kwanini yanakuwa hivi lakini?
Mtu ananunua saa (accessory) ya Tsh billion 100+ huku kuna mtu hata Tsh 2000 ya chakula (basic need) anakosa!!