Kawaida, wewe unakuta unanunua bundle la buku 2 wakati kuna mtu anatafuta buku apate mlo wa mchana anakosa. Kila mtu ni extravagant kwa uwezo wake. Hata wewe kuna anayekuona unaharibu pesa hapo ulipo.

Point yangu ni kwamba life is unfair, yani kwamba kuna mtu anapata bilion 100 za kununua saa hapohapo kuna mtu hata buku mbili tu ya kula ni kipengele.