Saa 1500EAT Simba sc tuna Jambo letu

Kwahiyo uwanja ukikamilika utaitwa Mo arena na Mo atakua na asilimia 49 za umiliki wa uwanja hali ya kuwa kwa kiasi kikubwa hela imechangwa na wana simba wenyewe ? .. Au nimekurupuka ? [emoji848][emoji848]
 
Suburi uambiwe una roho mbaya na hupendi maendeleo mkuu!! Hawachelewi hawa makolo we subiri kidogo tu.
 
Kwahiyo uwanja ukikamilika utaitwa Mo arena na Mo atakua na asilimia 49 za umiliki wa uwanja hali ya kuwa kwa kiasi kikubwa hela imechangwa na wana simba wenyewe ? .. Au nimekurupuka ? [emoji848][emoji848]
Huko mbeleni kutamu tuombe uzima
 
Ukiwa na uwanja alafu match ya yanga na Simba ikapangwa mkapa mtafanya nini?? Azam ana uwanja lakini match kubwa zote hachezee kwake anacheza mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…