mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Stay tuned
Nasikia uwanja umeivaaa
Nasikia uwanja umeivaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh0kwinyo
Sio Chama Cha Ukombozi?0kwinyo
Jose, si tumekubaliana humu kua malalamiko FC ni wale jamaa wa kusubiria rufaa kutoka CAS lakini wakaangukia pua?MALALAMIKO MATAMKO FC
HAHAHAJose, si tumekubaliana humu kua malalamiko FC ni wale jamaa wa kusubiria rufaa kutoka CAS lakini wakaangukia pua?
Suburi uambiwe una roho mbaya na hupendi maendeleo mkuu!! Hawachelewi hawa makolo we subiri kidogo tu.Kwahiyo uwanja ukikamilika utaitwa Mo arena na Mo atakua na asilimia 49 za umiliki wa uwanja hali ya kuwa kwa kiasi kikubwa hela imechangwa na wana simba wenyewe ? .. Au nimekurupuka ? [emoji848][emoji848]
Huko mbeleni kutamu tuombe uzimaKwahiyo uwanja ukikamilika utaitwa Mo arena na Mo atakua na asilimia 49 za umiliki wa uwanja hali ya kuwa kwa kiasi kikubwa hela imechangwa na wana simba wenyewe ? .. Au nimekurupuka ? [emoji848][emoji848]
Acha tuone ..Huko mbeleni kutamu tuombe uzima
Kweli wewe zuzu msimu ulioisha Azam mechi zake zote alichezea ChamaziUkiwa na uwanja alafu match ya yanga na Simba ikapangwa mkapa mtafanya nini?? Azam ana uwanja lakini match kubwa zote hachezee kwake anacheza mkapa.