Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,835
- 8,418
Huna akili au ushoga umezimaliza!!... Nani alikwambia ukijitetea mwenyewe huna haki ya kuwa na mawakili?. CatombweBaada ya uwanja kuinama sasa anawahitaji mawakili?
Huna akili au ushoga umezimaliza!!... Nani alikwambia ukijitetea mwenyewe huna haki ya kuwa na mawakili?. CatombweBaada ya uwanja kuinama sasa anawahitaji mawakili?
*Livin Lyakinana is a Deputy Registrar of the High Court of Tanzania (Dar es Salaam Registry).
In his judicial capacity, Lyakinana manages court registries and officially reads out or delivers rulings on behalf of presiding judges. He has been involved in several high-profile cases in Tanzania:
Tundu Lissu Treason Case (September 2026): Lyakinana is currently serving as the registrar coordinating proceedings at the Dar es Salaam High Court regarding opposition leader Tundu Lissu's ongoing trial
*Research lawyers—often called legal researchers or junior associates/clerks—help a defense lawyer by finding past court decisions, statutes, and rules that support the defendant's case
*"dark acts of the state apparatus" refers to covert, unethical, or illegal actions carried out by a government's institutions and agencies, often hidden from the public under the guise of national security.
Hata wewe ni elimu ya hapa na pale.Yaani sentesi yote hakuna kituo hata kimoja.Shahidi mwenye elimu ya hapa na pale Mount Meru ashafika mahakamani?
Kalete huo mwenendo wa kesi wewe, acha kujiliza kwa wanaumeBadala ya kuleta mwenendo wa kesi, umeanza kuandika propagada
Nchi iko poa bali serikali ndiyo ya kijingaNchi ya kijinga sana hii!!
HahahaBadala ya kuleta mwenendo wa kesi, umeanza kuandika propagada
sio hana Mawakili.. bali anajitetea yeye mwenyewe bila mawakili wake kuongea. labda utaelewa kidogo hapo.Si ilisemekana mshtakiwa hana mawakili?
wewe inakuhusu nini wewe si ulete huo mwenendo wa kesiBadala ya kuleta mwenendo wa kesi, umeanza kuandika propagada
achana na lichawa hilo lisikupotezee mudaWewe huelewi jambo.
Kuna mawakili wanao msaidia kutunza kumbukumbu, kufanya uchunguzi na utafiti. Na hao wanatambulika na mahakama.
Ni kama nchi iliyopata uhuru mwezi uliopita, kwa hiyo bado haijajipangaMahakama ilinde heshima yake
kumbe ni li Troll hiloTemana na hilo jamaa linajifanyaga great thinker kumbe empty head kama katuga. Ana id yake nyingine Troll JF
Mpaka muda huu ni kizungumkuti tu mahakamaniKesi imeshawashinda kitambo hii wanatapatapa tuh uonevu ndio kitu wanachokiweza na kutishia watu
Hii ngoma imedhakuwa nhumu. Mzee mzima leo asubuhi nimesubiri bila ya mafanikio kukaa siti ya mbele hadi nikaamua kujiendea zangu shamba.Muda huu saa sita mchana, Jengo zima la Mahakama umeme umezimwa, kuna giza nene kama tupo kuzimu halafu njee kuna mvua inaendelea kunyesha.
Msajili wa Mahakama hii, Lyakinana anawaogopa sana Magereza na hawa Mapolisi wa Kingai utadhani wao ndo wanamlipa mshahara, kwasababu Mapolisi ndio wanaamua nani akutane na Mwenyekiti Lissu na nani asikutane nae na yeye ndo aliyepewa order na Kingai kwamba azuie Mawakili wetu wasionane na Mhe. Lissu.
Sasa hivi wanapanga kupunguza viti ndani ya ukumbi Mahakamani ambao huwa tunautumia siku zote lengo likiwa ni kupunguza idadi ya watu watakao ingia ndani ili wasingizie kwamba ukumbi umejaa, kumbe wameondoa viti.
Mazingira hayo yanaonekana toka asubuhi muda ambao Mawakili walitakiwa kuingia kumuandaa shahidi wakishirikiana na Mh. Tundu Lissu.
Tunasubiri hiyo saa nane mchana tujue nini kimeendelea.
Taarifa kutoka vyanzo vyetu hapa Mahakamani vinasema Mwenyekiti Lissu amekutana kwa muda dakika 10 na Ramadhani Kingai na inaonekana kuna jambo halijaenda vizuri japo tunahisi huenda Mhe. Lissu atakuwa amemwambia hatuwezi kuendelea bila uwepo wa Mawakili wake, ambao wangesaidia kumchukua maelezo ya maandishi ya shahidi wake kabla hajaenda kutoa huo ushahidi Mahakamani.
Ukweli wa yote tutaujua baada ya masaa mawili kutoka sasa so tuwe na subira.
Badala ya kuleta mwenendo wa kesi, umeanza kuandika propagada
Ukisema nje mvua inaeendelea kunyesha unamaanisha nini Mr. MayanzaMuda huu saa sita mchana, Jengo zima la Mahakama umeme umezimwa, kuna giza nene kama tupo kuzimu halafu njee kuna mvua inaendelea kunyesha.
Msajili wa Mahakama hii, Lyakinana anawaogopa sana Magereza na hawa Mapolisi wa Kingai utadhani wao ndo wanamlipa mshahara, kwasababu Mapolisi ndio wanaamua nani akutane na Mwenyekiti Lissu na nani asikutane nae na yeye ndo aliyepewa order na Kingai kwamba azuie Mawakili wetu wasionane na Mhe. Lissu.
Sasa hivi wanapanga kupunguza viti ndani ya ukumbi Mahakamani ambao huwa tunautumia siku zote lengo likiwa ni kupunguza idadi ya watu watakao ingia ndani ili wasingizie kwamba ukumbi umejaa, kumbe wameondoa viti.
Mazingira hayo yanaonekana toka asubuhi muda ambao Mawakili walitakiwa kuingia kumuandaa shahidi wakishirikiana na Mh. Tundu Lissu.
Tunasubiri hiyo saa nane mchana tujue nini kimeendelea.
Taarifa kutoka vyanzo vyetu hapa Mahakamani vinasema Mwenyekiti Lissu amekutana kwa muda dakika 10 na Ramadhani Kingai na inaonekana kuna jambo halijaenda vizuri japo tunahisi huenda Mhe. Lissu atakuwa amemwambia hatuwezi kuendelea bila uwepo wa Mawakili wake, ambao wangesaidia kumchukua maelezo ya maandishi ya shahidi wake kabla hajaenda kutoa huo ushahidi Mahakamani.
Ukweli wa yote tutaujua baada ya masaa mawili kutoka sasa so tuwe na subira.
Leta huo mwenendo wewe malaya wa kimbokaBadala ya kuleta mwenendo wa kesi, umeanza kuandika propagada
Uwanja ulioinama ni upi? Hawa watu wana akili kweli! Yaani wanafikiri mbwembwe ndo zinamtia mtu hatiani? Mi bado sijaona hata chembe ya kuuuona uhaini katika kesi hiiAlikuwa nao tangu kesi ikiwa committal.
Hata kesi inavyoendelea mahakama kuu huwa anaiomba mahakama ku consult mawakili wake.
Kwanini huwa hamfuatilii vitu vidogo vidogo kama hivi kujiepusha na fedheha?
Lissu anao mawakili wa utafiti from a very beginning.