Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Labda waligombea bwana teh teh teh, ajabu shoga aweza kumtoa nokout mdada na udada wake
We Dar hii sijaona mtu wa kugombania nae Bwana.
Kwanza huo ubavu ataupata wapi.
Chezea jeshi langu la Mtu mmoja.
TALALA HOIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII..............!!!!!!!!!!!!!!!!!