Saa ingine sintah ni kama hajielewi vileee

Saa ingine sintah ni kama hajielewi vileee

Labda waligombea bwana teh teh teh, ajabu shoga aweza kumtoa nokout mdada na udada wake

We Dar hii sijaona mtu wa kugombania nae Bwana.
Kwanza huo ubavu ataupata wapi.
Chezea jeshi langu la Mtu mmoja.
TALALA HOIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII..............!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mligombania nini?????

Alikuja kumsalimia Shemeji yako yuleeeeeeeeeeeeeeeee, ati kisa tu shemeji yenu ni mtoto wa mjini ati anamjua.
We, nilimpa bao moja la uso....nahisi aliona nyotanyota na malaika wakiimba aleluya.
 
Mungu hakukosea kuweka tundu la kinyesi
hivi Mungu aliumba adam hafu akachukua ubavu wa adam akamuumba bilali.
kwanini alimuumba mwanamke?.........na asingeweka tundu la kinyesi huo uchafu ungetokea wapi.
bora uingamize mwili kuliko nafsi.
 
We Dar hii sijaona mtu wa kugombania nae Bwana.
Kwanza huo ubavu ataupata wapi.
Chezea jeshi langu la Mtu mmoja.
TALALA HOIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII..............!!!!!!!!!!!!!!!!!

hahahaha nimekutania tu mpnz, najua hawakuwezi mtoto wa mjini
 
Back
Top Bottom