Saa nane hii uwanja mweupeee

hannibali

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
468
Reaction score
427
Kuna tukio la aibu linaenda kutokea leo, hadi dakika hii watu wamesusa sijui maana kwa mkapa kweupeeee tofauti na tamasha la wapinzani lililopita yani ilikiwa hadi dakika hii hakuna pa kuhema.

Aya ngoja tuone muda ndo mwamuzi watakavozalilika watu na bonanza lao
 
Watu wapo kuingiza hela, tiketi zote zimeuzwa kwahiyo uongozi ushakamilisha yao, kama umenunua tiketi na hujaja shauri yako
 
Kwa muda kama huu siku ya wananchi ilikuwa hiviView attachment 1944633
Acha uongo hata photography hujasoma kwa kuingalia tu hiyo.picha muda unaonekana ni.jioni na pia usemalo ni uongo kwa maana tayari kwa mkapa tiketi zimeshauzwa zote tunauza za shamba la bibi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
JEE WAJUA. nadhani hautoamini lakini ni kwamba wasomi kutoka chuo kikuu cha HAVARD wamefanya uchunguzi ni kugundua kua binadamu anaweza kujipama akili mwenyewe na akafahamu kama ana akili au hana kutokana na mawazo au fikra alizonazo. Wakatoa mfano kuwa kama mtu anaamini kuwa utopolo leo atashinda MY CHURA HUNA AKILI NA MUONE DAKTARI HARAKA.
 
Acha uongo hata photography hujasoma kwa kuingalia tu hiyo.picha muda unaonekana ni.jioni na pia usemalo ni uongo kwa maana tayari kwa mkapa tiketi zimeshauzwa zote tunauza za shamba la bibi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lete ushahidi wa tiketi kuuzwa zote hapa
 
Lete ushahidi wa tiketi kuuzwa zote hapa
Nenda kwa page za wenye nchi utaona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasikia wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza cha uto huko nigeria wamewejwa karantini wana covid 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…