Saa nane hii uwanja mweupeee

Wewe haupo uwanjani hau Kama upo umeokoteza picha za saa moja asubuhi
 
umepost picha ya saa tatu asubuhi.
 
Yaani pamoja na jitihada zote za uwekezaji lakini mbaka saaizi mashabiki bado wana suasua kuingia uwanjani, bora wangetumia shamba la bibi wangeweza Ku ujaza.
 
Yaani pamoja na jitihada zote za uwekezaji lakini mbaka saaizi mashabiki bado wana suasua kuingia uwanjani, bora wangetumia shamba la bibi wangeweza Ku ujaza.
Acha uongo uwanja umejaa nyomi ya kutosha wanazuia sahizi watu kuingia.
 
Hahahh kuna watu wanafiki sana Tz bhana
 
shda yenu utopolo ni kupambana na simba mtaumia vibaya muno hadi saa sac mchana watu hawakupata pa kukaa najua manara anaona aibu subr mtolewe ndo mtajua
 
Sawa dada shida yako?

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wengi wa simba ni maskini wa pesa na akili hela wanatoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…