Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini Mungu afanye kwako

Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini Mungu afanye kwako

Kama ni maombi ya kufunguliwa basi waombee wafungwa ili wafunguliwe toka kifungoni ili nao wawe huru.
Wale walio Fanya makosa kwel wanavuna walicho panda ,huwez upande maharage alafu uvune dagaa,ila wale wote walio ingia kule kwa kuonewa basi Mwenyez Mungu atawafinyia wepes watatoka siku Moja kabla ya kifungo Chao kuisha🙏🏽
 
Back
Top Bottom