Saa sita usiku wa leo, utashangaa nyuzi za Simba Vs Yanga zaidi ya moja, hivi kwanini huwa mnagombania?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Kumekuwa na kasumba ya kila mdau wa JF aonekane yeye ndio wa kwanza kufungua thread ya mechi ya Simba Vs Yanga.

Matokeo yake mpaka ni mlundikano wa nyuzi japo huwa zinakujwa kuunganishwa.

Mbaya zaidi kuna jamaa yeye ni mod, huwa anafoji hadi muda ili tu thread yake ionekane ya mapema zaidi.
 
Huyo jamaa ni mode bana japo Cookie alimkataa.
Ila yule mwamba ni mode.

Anyway game ambazo nina uhakika wa kwenda Uwanjani huwa sianzishi mimi.
Pale Taifa network huwa mbovu so siwezi kutoa update, sioni haja yakuanzisha uzi.

Japo mara nyingi nikianzisha mimi Simba huwa anashinda.
 
Tayari huko🤣🤣
IMG_4012.png
 
Back
Top Bottom