Saa sita usiku wa leo, utashangaa nyuzi za Simba Vs Yanga zaidi ya moja, hivi kwanini huwa mnagombania?

Saa sita usiku wa leo, utashangaa nyuzi za Simba Vs Yanga zaidi ya moja, hivi kwanini huwa mnagombania?

Ukipasua vichwa vyao utakuta ni mipira mipira,mipira....
Sidhani kama wanakumbuka hata majina ya watoto wao
 
Kumekuwa na kasumba ya kila mdau wa JF aonekane yeye ndio wa kwanza kufungua thread ya mechi ya Simba Vs Yanga.

Matokeo yake mpaka ni mlundikano wa nyuzi japo huwa zinakujwa kuunganishwa.

Mbaya zaidi kuna jamaa yeye ni mod, huwa anafoji hadi muda ili tu thread yake ionekane ya mapema zaidi.
🤣🤣
 
Back
Top Bottom