Saa sita usiku wa leo, utashangaa nyuzi za Simba Vs Yanga zaidi ya moja, hivi kwanini huwa mnagombania?

Saa sita usiku wa leo, utashangaa nyuzi za Simba Vs Yanga zaidi ya moja, hivi kwanini huwa mnagombania?

IMG_4011.jpeg
 
Kumekuwa na kasumba ya kila mdau wa JF aonekane yeye ndio wa kwanza kufungua thread ya mechi ya Simba Vs Yanga.

Matokeo yake mpaka ni mlundikano wa nyuzi japo huwa zinakujwa kuunganishwa.

Mbaya zaidi kuna jamaa yeye ni mod, huwa anafoji hadi muda ili tu thread yake ionekane ya mapema zaidi.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tatizo si kuanzisha Uzi Ila unakuta wanaokimbilia wengi kuanzisha Uzi hawatoi update hata list wanashindwa kuweka
 
Tatizo si kuanzisha Uzi Ila unakuta wanaokimbilia wengi kuanzisha Uzi hawatoi update hata list wanashindwa kuweka
 
Back
Top Bottom