Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Huyo jamaa ni mode bana japo Cookie alimkataa.Kumekuwa na kasumba ya kila mdau wa JF aonekane yeye ndio wa kwanza kufungua thread ya mechi ya Simba Vs Yanga.
Matokeo yake mpaka ni mlundikano wa nyuzi japo huwa zinakujwa kuunganishwa.
Mbaya zaidi kuna jamaa yeye ni mod, huwa anafoji hadi muda ili tu thread yake ionekane ya mapema zaidi.
Suley ndio mode sasa
Huwa inakera sana.Cha ajabu uzi wa yanga utaanzishwa na shabiki wa simba, ilimradi tu kutia nuksi....
Sasa huyo si mwana5imba mwenzenu......akianzisha za yanga ndo nuksi tupuHuwa inakera sana.
Nyuzi zetu akianzisha Suley huwa tunapigwa 🤣
Hii nitakuwa hewani mwenyewe!!
Yanga BingwaCha ajabu uzi wa yanga utaanzishwa na shabiki wa simba, ilimradi tu kutia nuksi....
[emoji112][emoji112]
Ruka nayo mkuu.[emoji112][emoji112]