Hellow!
Katika ulimwengu usioonekana, nyumba ya nchi ina Saa yenye kuonyesha wakati na majira na dira ya tunakoelekea.
Sasa Kwa kuwa uchaguzi wa haki uliotarajiwa kufanyika, haukufanyika, yakafanyika mauwaji ya raia wasio na hatia katika siku hii,
Saa hiyo imesimama, haitembei, Kila kitu kimesimama, hakuna hatua yoyote tunayopiga kuelekea mbele,
Na ishara ya Saa ya nchi kusima Oct 29,2025 ni;
1. KITI kubaki wazi, Sasa Kwa kuwa kiutaratibu nchi lazima iwe na kiongozi, kiongozi yupo pembeni mwa KITI na hajawahi kukikalia tangu October 29, amesimama tu pembeni,
2. Ishara ingine ya kuonyesha KITI ki wazi ni kiongozi haramu kuongoza akiwa amejificha.
Sasa ili nchi irudi upya kuendelea na hatua zake ili majira na nyakati kuendelea kama kawaida, ni shart uchaguzi huru na WA haki ambao haukufanyika, ufanyike, wauwaji wapewe ujira wao au stahiki Yao Kwa matendo Yao ovu ili kutulie.
Habari ndio hiyo.