Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Mla nguruwe kafie mbele , hakuna muislamu mjingaWe mie muislam tuliza kijambio.
Mla nguruwe kafie mbele , hakuna muislamu mjingaWe mie muislam tuliza kijambio.
Waache waendelee kuja. Tunawasubiri.atanyooka tu na porojo zake useless jukwaani,
hao wengine walishakata pumzi kitambo sana jukwaani, hawana hamu kabisa na mawe mazito ya vijana wazkilendo wa Tanzania 🐒
Ahahahahaha! Kila la heri!Mara nyingi tu coach wasaidizi wamewahi kuvaa jerzey na kuingia uwanjani dakika za lala salama na ushindi ukapatikana,
Muhimu ushindi.
Yani wananchi wakikutaaa hadi nafsi yako yenywewe lazima ikae pembeni..eti ushindane na wananchi ushinde labda iwe mara ya kwanza TanzaniaNi rahisi kuanzisha vita na nchi jirani ukashinda,
Lakini hajawahi tokea kiongozi akaanzisha vita na watu anaowaongoza akashinda,
Hiyo haipo