Gentleman,Hellow!
Katika ulimwengu usioonekana, nyumba ya nchi ina Saa yenye kuonyesha wakati na majira na dira ya tunakoelekea.
Sasa Kwa kuwa uchaguzi wa haki uliotarajiwa kufanyika, haukufanyika, yakafanyika mauwaji ya raia wasio na hatia katika siku hii,
Saa hiyo imesimama, haitembei, Kila KITI kimesimama, hakuna hatia yoyote tunayopiga kuelekea mbele,
Na ishara ya Saa ya nchi kusima Oct 29,2025; ni KITI kubaki wazi, Sasa Kwa kuwa kiutaratibu nchi lazima iwe na kiongozi, kiongozi yupo pembeni mwa KITI na hajawahi kukikalia tangu October 29, amesimama tu pembeni,
Ishara ingine ya kuonyesha KITI ki wazi ni kiongozi haramu kuongoza akiwa amejificha.
K
Sasa ili nchi irudi upya kuendelea na hatua zake ili majira na nyakati kuendelea kama kawaida, ni shart uchaguzi ambapo haukufanyika, ufanyike, wauwaji wapewe ujira wao au stahiki Yao Kwa matendo Yao ovu ili kutulie.
Habari ndio hiyo.
Mbona hakalii KITI,amesimama tu!Walisema hafiki mwezi wa 10 ,manabii wale matapeli ,waganga wanaovaa suti .
Bado mnaamini hao matapeli ,wajinga ni wengiMbona hakalii KITI,amesimama tu!
Sio Imani ni halisi,Bado mnaamini hao matapeli ,wajinga ni wengi
😅😅😅Jamani kazunguka sana ,hata hapa Tanga amekuja katika siku ya majeshi pale Kange ...Acha utani 😅😅matapeli wakubwa.Sio Imani ni halisi,
Arusha tu hapo hakweza kwenda,
Ni kufichama tu,
Nimeamini Hapana amani Kwa wabaya ni hofu kuu na Giza na utelezi huwafuata kuwafunika
Tanga alikwenda na batalian, wajeshi 1000, mixer vifaru!😅😅😅Jamani kazunguka sana ,hata hapa Tanga amekuja katika siku ya majeshi pale Kange ...Acha utani 😅😅matapeli wakubwa.
Anazunguka muda wowote, hamna uwezo wa kumfanya chochote si mmeona kile kichapo cha mwaka jana mpaka TEC wenyewe waliogopa 😅😅Tanga alikwenda na batalian, wajeshi 1000, mixer vifaru!
Tutafika tu
Ni rahisi kuanzisha vita na nchi jirani ukashinda,Anazunguka muda wowote, hamna uwezo wa kumfanya chochote si mmeona kile kichapo cha mwaka jana mpaka TEC wenyewe waliogopa 😅😅
Mwamba kaingia leo fastafasta kuongeza nguvu. Inaonekana akina Erythrocyte, Tindo, na wenzao wameishiwa pumzi! Ahahahahaha!!Gentleman,
hakuna kinachoweza kusimama Tanzania kwasababu yoyote ile.
Chaguzi huru, za haki, amani, uwazi na usawa zitaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi kila baada ya miaka mitano na bila kujali au kuzingatia porojo, mihemko, makasiriko au kususia uchaguzi kwa wafuata mkumbo na mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
So,
waambie na wenzako kuhusu ukweli huu mtupu kwenye jambo hili la msingi kwa ustawi wa demokrasia na utawala bora Tanzania.
And as a nation,
we are currently more united, more powerful and more stronger than before.
Hakuna wa kubabaika na ramli au ushirikina nonsense kama huo, waTanzania tunasonga mbele pamoja kama taifa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
atanyooka tu na porojo zake useless jukwaani,Mwamba kaingia leo fastafasta kuongeza nguvu. Inaonekana akina Erythrocyte, Tindo, na wenzao wameishiwa pumzi! Ahahahahaha!!
Mara nyingi tu coach wasaidizi wamewahi kuvaa jerzey na kuingia uwanjani dakika za lala salama na ushindi ukapatikana,Mwamba kaingia leo fastafasta kuongeza nguvu. Inaonekana akina Erythrocyte, Tindo, na wenzao wameishiwa pumzi! Ahahahahaha!!
Kwenye thread hii Kwa mara ya kwanza umelaani mauwaji ya Oct 29,2025;atanyooka tu na porojo zake useless jukwaani,
hao wengine walishakata pumzi kitambo sana jukwaani, hawana hamu kabisa na mawe mazito ya vijana wazkilendo wa Tanzania 🐒
Gentleman,Kwenye thread hii Kwa mara ya kwanza umelaani mauwaji ya Oct 29,2025;
Hiyo comment inatunzwa na itamfikia muhusika
Walimuona mtoa roho akienda upande ule, bahati mumewe kamkingia kifua, sasa mtoa roho sijui round ya 2 nani atakinga kifua.Walisema hafiki mwezi wa 10 ,manabii wale matapeli ,waganga wanaovaa suti .
Kabla ya muuwaji kuu....,Walimuona mtoa roho akienda upande ule, bahati mumewe kamkingia kifua, sasa mtoa roho sijui round ya 2 nani atakinga kifua.
Ndivyo mnavyodanganywa kanisani ?Hata wafe viongozi wote nyie hamuwezi kuongoza nchi labda uko porini kwenu.Walimuona mtoa roho akienda upande ule, bahati mumewe kamkingia kifua, sasa mtoa roho sijui round ya 2 nani atakinga kifua.
We mie muislam tuliza kijambio.Ndivyo mnavyodanganywa kanisani ?Hata wafe viongozi wote nyie hamuwezi kuongoza nchi labda uko porini kwenu.
basi huna tofauti na wale wa Gaza,unasñzisha vita,ukijua hautàshinda,unakua unawaza nini,baadae unaanza kutoa milio mitandaoni like a fool..🤗🤗dont start a war,unless you are sure of winningWe mie muislam tuliza kijambio.