Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Kama ni kweli Kuna kazi kubwa sana ya kufanya ila tatizo hii kampun ni biashara ya mstaafu mmoja mzito Ambaye ndiye mwenye remort ya Ikulu.

naona kwenye uzi huu baada ya kuujua ukweli, akili imekukaa sawa japo kwenye ule uzi wa awali wa mleta mada, ulijaribu kuleta hoja za kichawa kumtetea salah.

Chuki zako binafsi tu na matajiri. Kama una ushahidi kwanini usiende mahakamani? huna mali anayoweza kuingangania salaa wala nini
 
Kila mkopeshaji ana terms zake...ata bank uki mess up watakugalagaza vile vile...hakuna mkopeshaji ambae anakuchekea ukishindwa kulipa deni...labda 100 kwa 1.
Mleta uzi anaelezea kukwepa kodi kupitia kulipa pesa silent ocean n thn wao kulipa kwa supplier/manufacturer...lkn tujiulize je ni silent ocean pekee wanaofanya hvyo ....by the way nimewahi safirisha mizigo toka china na kampuni nne tofaut wakiwemo na silent ocean...lkn pesa yte nililipa kwenye hzo kampun kasoro hyo silent ocean ndio hawakuwah kuniambia nilipe kwao...lkn hyo haiondoi uhalali kwamba wanafanya hvyo labda nilibahatika na nilisafirisha mizigo yangu kupitia kwao mara 2 ila sikupenda huduma zao nikawaama...ila hao cargo transporters karibu wote nadhan wanafanya hvyo....why silent ocean ndio iwe issue???labda nikwambie tu...nilishawah shuhudia nyumba yetu inapigwa mnada na bank uku tumekaa ndan...kwa hyo hzo issue za mkopo sio mgeni.Na partner wangu nyumba yao ilipigwa mnada wakiwa ndan pia na had walitolewa na polisi...so chief dawa ya deni ni kulipa au kutafuta namna ya kumalizana na mdeni wako.
 
bibi aka senior chawa of gsm family(chawa muandamizi wa familia ya gsm) is in the house. [emoji1787][emoji1787]
 
Shida ni uelewa na elimu yako. Wewe ni mkongwe wa JF na uelewa wako ni mdogo sana

Opposite - inayotazamana.


Adjacent- inayokabiliana.


Mtafute Mwalimu wako akufundishe maana hii sio kazi yangu.
 
Mi nlishasema wakiamua Wakinga wote huyo bwege mbona wanamalizana nae tu.
Wabongo ni mapoyoyo sana mnacheka na kima kisa katoka Yemen,
Idd Amin ndo alikua kidume.
Fukuza wahindi wote na ni kuondoka na nguo tu.
Tabia ya wizi pia haikubaliki, huyo Pius ameiba mpk kaagiza vogue kamuingiza mwenzie matatizoni..
So Salaah pia sidhani km kakosea, labda hapo alipotaifisha mali zimezidi kiwango
 
Hmm.. mpaka video? Na GSM nao wamo?
Mkuu funguka tujue na kujihami
 
Huyu jamaa ni mzembe...mtu anakuibia anajenga majumba,viwanja,mabiashra anaanzisha na had anaagiza gari za mamia ya mamilioni yy wala hastuki...huo ni ubwege...sio mfanyabiashara.Unashindwa vp kustuka had mtu anachukua pesa yte hyo.unless amezidisha chumvi kwenye hii story yake.
 
Ni matajiri wachache wenye utu wengi wana roho mbaya na still wanafanikiwa
 
Usalama wa polisi now days wamekuwa ni asskissers tu wala sio wakuwategemea hao ndio wakiwahofia kuliko hata jambazi lenyewe
 

Hiyo video peleka kwa mange wengi wammefollow
 
1.) Hilo suala la kufanya kazi ya Kunadilisha pesa za kigeni na kutransfer nje ya mfumo wa kibenki tena bila kibali cha BOT ni hatari sana na ni uhujumu uchumi wa hali ya juu kabisa, mtu akiagiza mzigo aonyeshe bank transfer aliyofanya toka Tanzania kwenda kwenye hiyo kampuni China, TRA mpo wapi?! Bandar vipi?!

2.) Kama ameshachukua pesa zake, hiyo milioni 250 iliyobaki arudishe haraka!!!!

Hivi hii nchi tuna Rais kweli?!!
 
Shida ni uelewa na elimu yako. Wewe ni mkongwe wa JF na uelewa wako ni mdogo sana

Opposite - inayotazamana.


Adjacent- inayokabiliana.


Mtafute Mwalimu wako akufundishe maana hii sio kazi yangu.
Haupo sahihi. Huwa sikisii.

Nina maana yangu kuuliza hayo maswali mawili.

Don't judge the book by its cover.

Opposite ni mkabala
Adjacent ni karibu.
 
Ndo hapo hata Salaah ana haki kudai chake.
Km alimpa jamaa access ya pesa mingi kirafiki tu yule nae kakabidhi kwingine ambako ndo huyo mpigaji yupo.
Exactly pesa ya watu inatakiwa kurudi hata iweje
 
Nilichomkubali mwandishi hakutaka kuficha uovu ambao uliofanywa kutoka upande ulio athirika na huyo Boss

Angekuwa mtu mwingine ili kuifanya story iwe convincing asingeweza kuandika negative upande ambao anautetea
 
Stupid woman huyo yeye ndiyo Yuko nao na mbaya zaidi alitumika kuandaa familia ya marehemu kulalamikia nivyotolewa na mh.dpp huyo ni zaidi ya chawa wao

Mbona alikuwa anawasema sana kuna kipindi ,ashawasema sana labda pesa hubadili watu
 

Unamuita form four failure then unamuogopa??
Si umfate private mmalizane uone huo u-failure wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…