Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Kifupi ni kwamba asante sana kwa kutupa njia za kuukimbia Umaskini kama tukiwa na mitaji kupitia Ndugu Salaah...

Salaah yuko sawa kwamba biashara haitaniwi wala haitaki urafiki...

Huyo Eliud ni UZEMBE wake wa kumwamini Pius ndo umemfelisha...

Wale wazalendo endeleeni na UZALENDO wenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu wanaohubiri huo UZALENDO ndo wanaofanya biashara na akina Salaah...

Utakufa maskini na mapenzi ya dhati ya kuipenda Tanzania iliyotengenezwa na Berlin Conference πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa ndipo shida ilipoanzia halafu anataka huruma. Mwizi kamwibia mwizi mwenzie, kambananisha anapiga kelele.
Ni vile tu dogo ataki kushindwa ila kiukweli mapema alitakiwa apige kimya kisha amfate Salah kimya kimya wazungumze wayamalize.

dogo alijikwaa kwa kumuamini uyo ndugu yake,na kwenye maisha kujikwaa kupo.
naamini Salah angemuelewa wangeyamaliza kwa namna yeyote ile na dogo angeendelea kupiga kazi na Salah.
 
mhn!
Hakuna tutakachoweza kuwafanya hawa jamaa ni MWENYEZI MUNGU pekee awezaye kuchukua uhai wao na si vinginevyo. binafsi namwona shujaa sana yule aliyemmwagia mmoja wa wanafamilia tindi kali wakti ule tendo ni baya lakini wanastahili kwa kweli.
hawa (hawa matajiri wa kiarabu inawezekana sio hawa lakini) hawaoni shida kukuitia kikundi kikufiire kwa ajili ya mali zao sielewi wanafikiria nini.
na kwa sasa ni kweli hawagusiki na wakubwa wengi wamejipendekeza kwao na mitaji yao wameweka kwao.
na wao wanachofanya ni utoroshaji wa fedha tu tutanyooka na hakika tusitegemee kura na uchaguzi utatusaidia hii ondoa kabisa!
mwisho wa siku tukumbuke waafrika wenyewe ndio tuliowapa nguvu hawa watu na sisi ndio tunaweza kuwaondoa tusitegemee vita rahisi katika hili tukumbuke shimo la panya halizibwi kwa mkate lazima tujitoe ufahamu na katika hili tunahitaji watu kama Idd Amin ambaye aliona changamoto za waganda akajitoa ufahamu kuliko kuzungukwa na wezi watupu na sisi tukiimba mapambio.
 
Wachaaa wee

Ova
 
Mbona uliyoandika ya kawaida sana me najua makubwa na mazito ya hawa jamaa
Kiupana elewa gsm na ndg zake ni mafia basi wanaweza kukuua muda wowote wanaotaka na wanaweza kukunyang'anya mali zako muda wowote na ndgo shughuli zao
Jinsi gani usivyo na akili. km unajua makubwa zaidi ya hayo si ungesema tangu mwanzo? Watu nchi yenu wenyewe mnafuga uozo na hapo unajiona wa maana kujua machafu yao huku mkikaa kimya. Kwani ukijilipua km mwandishi hapa utapungukiwa nn? Kumbafu kabisa wewe na ukae kimya milele mxiiiuuu
 
Hawa kiboko yao ni Kijana wa Kolomije peke akeee wangepigwa pini kimjin mjin
Kiboko! Wakati walimuonga kiwanja na sasa baada ya yule mungu wake kufa wanamdai kiwanja chao na tayari wameshakichukua asubiri jumba lake alilolijenga kwa pesa za dhuluma libomolewe biashara iishe.
 
PESA SALAH KATOA TENA KAMUAMINI JAMAA KIROHO SAFI
WAPIGE KAZI
ELIUD NAYE ALIMUAMINI MTU WAKE AMBAYE NI PIUS,PIUS NAYE KAMPIGA CHA NDIMU
kwa kuangalia issue hii ilikuwa nyepesi sana kwa eliud angempa ushirikiano salah wambane pius ateme, mzigo aliouchukua na kuzikamata Mali ambazo pius alizipata kupitia fedha ya eliud aliyopewa na salah
Inawezekana eliud alijuwa mapema kama pius anampiga lakini alishindwa
Kumtaarifu mapema salah

Ova
 
Kiboko! Wakati walimuonga kiwanja na sasa baada ya yule mungu wake kufa wanamdai kiwanja chao na tayari wameshakichukua asubiri jumba lake alilolijenga kwa pesa za dhuluma libomolewe biashara iishe.
Duh tena walimtimbia kibabe,mwanangu Paul akawa mpole
Duh kweli miamba inazidiana

Ova
 
Watu wanapata masahibu duniani!
 
Kiboko! Wakati walimuonga kiwanja na sasa baada ya yule mungu wake kufa wanamdai kiwanja chao na tayari wameshakichukua asubiri jumba lake alilolijenga kwa pesa za dhuluma libomolewe biashara iishe.
Unajitekenya na kujichekesha wewe. Endelea kuota ndoto za mchana. Anyway hayatuhusu mkuu
 

Kweli Kabisa Hii kesi ingekuwa rahisi Mno.
Kwanza kama alivyoripoti Mtoa mada,
Hapo Baada ya Eliud kunyang'anywa Mali zake angeomba Tag Kwa Saalah ili naye azipokonye Mali za Pius kwani alizipata Kwa kumuibia(Eliud)
Simple tuu!

Sasa jamaa anamuona Mbaya Saalah ambaye alimpiga tafu badala ya kumuona Mbaya wake ni Pius aliyemuingizia hasara ya fedha nauaminifu Kwa Salah
 
Bado kuna ukakasi maana yaonesha mali alizo nazo Pius zinazidi 100mil, je Eliud hakuweza ona upungufu mkubwa hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…