Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Pesa za halali hazijawahi kumletea mtu utajiri wa moja kwa moja, lakini yote ya yote tufanye yooote ila tuheshimu na kulinda utu na maisha ya mtu.
Tunaishi mara moja hapa duniani, bado hakuna hata mmoja wetu ambaye ameza kujua kwanini jana hakuwepo hapa duniani na leo yupo na kesho hatakuwepo.

Kwa vyovyote tutakavyo kua leo sivyo itakayo kua hatma yetu, tuhuishe tena dhamiri zetu.
 
Hii ni ile ya dizsini ya « nirudishie pipi yangu au ntaenda kukusemea kwa baba siku ile ullivyodokoa nyama jikoni»
 
Mkuu shutma za familia ya GSM zipo tangu utawala wa kikwete na hawakuwahi kufanywa chochote

Kama hutojali unaweza kutujuza katika miaka 6 aliyodumu madarakani Mwamba Jiwe, JPM aliwafanya nini hawa GSM?
Aliwanyoosha vibaya sana, tena kimya kimya.., walienda kwa magoti hadi Ikulu, na walilipa pesa nyingi sana na hata wale waliokuwa wakiagiziwa mizigo na Home shopping centre kipindi hicho wengi walitaifishiwa makampuni yao.., walinyooka haswa pale bandarini
 
Eti mama samia njoo PM

Nimecheka sana
 
achana na mimi kusoma,icho kisa nakijua vizuri,tena kuna mambo umeyaacha kuyaeleza ungezidi kuonyesha ujinga mkubwa wa huyo dogo.

uyo dogo ashukuru Salah kataifisha vitu vyake kamuacha aishi uraiani,ashukuru sana kwa hilo.
tajiri mwingine angemfunga au angemfanya vinginevyo.umeiba alafu unataka sheria za eti urudishiwe kilicho zidi!.icho kilichozidi kimetokana na fursa alizopewa uyo dogo na Salah.
atulie ajipange upya maisha yaende,si ameagiza Vougue auze iyo gari ajipange upya asonge mbele.
 

Ni vyema kama umeamua kusema useme ukweli wote.
Eliud Kaibiwa shilingi ngapi kutoka Kwa Pius?
Je Pius kamlipa Eliud?
Saalah anamdai shilingi ngapi Eliud?
Eliud Amelipa shilingi ngapi?
Kipi kiasi kilichozidi?
Kwa nini Eliud azidishe kiasi tofauti na kile anachodaiwa?

Kwa nini Eliud yeye hakutaka kushikilia Mali za Pius aliyemuibia?

Huoni mazingira ya kesi Hii, Eliud kafanya njama na Pius kumuibia Saalah?
Kama hajafanya njama ni kwani hajafungua kesi Mahakamani ya Kudai kuwa ameibiwa na Pius?

Kwa nini siku zote hayo maovu ya Saalah hayakutajwa na Eliud, Kwa nini ayataje sasa Baada ya Saalah kuchukua yaliyoyake?
 
kuna uwezekano wa Eliud na Pius wakawa mchongo mmoja, katika hali ya kawaida haileti picha kuwa badala kuwa na kisasi kwa aliekuibia uwe na kisasi kwa anaekudai wewe.

Ndio iko hivyo mbona.
Kwa mazingira ya kesi, hiyo ndio picha itakayojitokeza.

Mtoa kisa hiki anajaribu kumchora mhusika Saalah kama mkatili ilhali huyo Saalah ndiye kambust huyo Eliud, pia ndiye kumsaidia Eliud kumfanya Pius akiri kuwa yeye ndiye mwizi.

Sasa badala Eliud akabiliane na mwizi wake, ili hizo Mali zilizochukuliwa na Saalah azifidie Pius
 

Ni kweli Salaa aliibiwa Hela na Kijana wa Jamaa, tena nyingi, hela inauma, nafikiri hakuna anachodai, hizi nyingine fitina tu, nyie wote ni wezi, wakwepa kodi na hustlers.
 
Nnachoshangaa mleta mada ame base kuwa mtenda dhambi ni Salaah tu.

😂😂😂

Badala afanye juu Chini huyu aliyemuibia arudishe kiasi alichokiiba, anadili na MTU aliyechukua kilichochake.

Wakati Pius amekiri ameiba, ni Kwa nini Eliud hakuomba tag kuzifilisi Mali za Pius, ili Pesa iliyopotea ifidiwe na hasara zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…