Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Uzuri hakuna immortals hapa duniani. Jitu, watu, mtu, kajitu wote wanakufaga na hakuna anaezikwa angani, wote wanaenda six feet under na wengine wanachomwa wengine wanapotelea majini wanaliwa na samaki.
 
Uzuri hakuna immortals hapa duniani. Jitu, watu, mtu, kajitu wote wanakufaga na hakuna anaezikwa angani, wote wanaenda six feet under na wengine wanachomwa wengine wanapotelea majini wanaliwa na samaki.
Shida hao jamaa wamejipachika kwenye Soka wanatembea na Usimba na Uyanga hata nchi ikiuzwa hii sawa tu ilimradi Mayele na Chama wafunge magoli inatosha Sana.
 
Mama Hana muda huo kwani huko wapo vijana wake na wanabadili taarifa wanapommpelekea naye huwaamini saaaana,tuombee Mungu aingilie kati ye hashindwi ila kumtegemea Samia ni upuuzi mtupu
 
Je umeshuhudia mwenyewe kwa macho yako? Au ndio ya kusikia vijiwe vya kahawa na kutuletea hapa na unawajua vizuri wabongo wengi wao wepesi wa kuamini hata kama utaandika pumba!!
 
Nje ya mada, haya maneno umeambiwa na nani?
 

Usipende kuamini amini kila kinacholetwa humu, taarifa zingine ni upotoshaji/uongo, fanya ukatembelee mwenyewe huko kuliko kuwafitinisha hao jamaa.
 

Una ushahidi wowote hao waliotaifishiwa mali zao na nyerere ni mali za serikali? Dhulma ni mbaya sana.
 
Duh !
 
Ila huyu GSM ,hawa washenzi ni organised criminals , GSM ni crime family ,na inaonekana hii michezo wanafanya kwa muda mrefu sasa ,nawaomba mpitie malalamiko ya huyu jamaa ambaye naye analalamika alidhulumiwa na kutekwa ,kulawitiwa na kuteswa vibaya mno na genge la huyo mafia Salaah GSM family ,tena inasemekana alifanya huo unyama nyumbani kwake , kwa kuwakodi mabondia akina Japhet kaseba na wahuni wengine kuja kumtesa na kumnajisi huyo jamaa ,
Pitieni hiyo video ,mchizi amefunguka haswa na kuna malalamiko mengine mengi watu wamelalamikia hii family ya mamafioso kwa muda mrefu .
Huyo jamaa aliwahi fanya biashara na hao mamafioso gsm ,
 
Na si kuna mmoja yule mkubwa wao aliyemwagiwa tindi kali ? Na inasemekana aliyefanya hivyo alifanya kulipiza kisasi ,sijui alidhulumiwa ,kitu kama hicho ,gsm ni washenzi haswa tena kitambo mno
 
Pumbavu unashindwa kummaliza kwa shaba unatuambia sisi tufanyeje kama hata kudai haki yako huwezi?
 
Aisee halafu kuna mdau kaongelea wale vijana sita wa kariakoo waliopotezwa mwaka jana aisee ile issue ilizimwa Kimya kimya ,hamna hata anaeiongelea tena , mamafioso wanaoperate mchana kweupe
 
Kama ni yakweli basi ni kosa na Mwenyezi Mungu anayaona, lakini wengi wetu tuliomo humu hatuna uhakika wa taarifa hii kama ni yakweli, so tusipende kurukia kukomenti vitu tusivyo na uhakika navyo. And many times ishu ya mwarabu iwe ya kweli ama uongo huwa inaongelewa sana, tujitahidini kubalance na sio kuangalia rangi ya mtu flani, ni upumbavu haswaa.
 
Hii picha tu inaonesha huyu jamaa hana tofauti na wale magenge wa madawa huko Mexico na El Salvador.

Kwani kushika bastola kuna shida gani? Ameuwa kwani? Ukiwa na hela hushindwi kumiliki bastola kwa ajili ya usalama wako, mshenzi yeyote mwenye nia mbaya unambutua mammae, eti mpumbavu flani hivi aje kwa nia mbaya and then nimuangalie, namtwanga la mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…