Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah yuko sawa. Huyu ni mfanyabiashara na biashara zina principle zake. Kamwe usiruhusu senti yako ktk biashara ipotee kizembe. Asitokee yeyote akusababishie hasara ktk biashara yako, huyu ni wa kuua tu ili usionekane unaingilika kirahisi. Jitahidi kukwepa kodi kadri inavyowezekana. Jenga urafiki na wenye mamlaka na vyombo vyenye mamlaka.

Ukitimiza haya utatoboa tu.
 
Ila watanzania tumezidi unyonge.

Toka GSM walipoanza kulalamikiwa hakuna cha maana walichowahi fanywa. Sana sana wanaendelea kudunda tu.

Kama serikali imewashindwa waseme wananchi waingie mzigoni. Tuone hao majini kama watawasidia. Pumbavu.

Ila huyu Salaah atakuja kuwa na mwisho mbaya mno. Malalamiko dhidi yake yamekuwa mengi mno.
Watu design yake ndio wanaishia kupata stroke wanajinyea kitandani hapo hapo.

Kama dhulma zake zina ukweli basi Mungu ampe hukumu yake hapa hapa duniani
 
Sawa tumekuskia. Ila najua ukweli ni kwamba mwandishi hujaleta mada hii kwa sababu unataka uzalendo uwe mbele. I think its just personal.. ukila hela za watu wa kariba ya kina salaaa wana haki ya kukufanya chochte ikiwemo kukuweka kwenye magodown yao wakufunge mikamba.. huwa hawakubali mtu acheze na pesa zao.. wana serikali zao za kuhukumu sio kukupeleka mahakani.. kuna muhindi sales alikula hela ya awadh uliza alichofanywa .. uliza ya mo .. infact hao majamaa waarabu wa yemen sijui syria wametoka kwenye umaskini mkubwa hawawezi kubali kurudishwa kwenye umaskini na mtu mweusi. Wako tayari wamuasi .. bora umdhulumu mtu mweusi mwenzio atakusamehe ila sio hao waburushi type
 
Labda hukusoma na kuelewa ndugu yangu. Siwezi kukulaumu maana mwenyezi Mungu katupa uwezo tofauti wa kuchanganua mambo.

Mimi nilifanya analysis baada ya kujua wanachokifanya ndio nikajua this is black market. Na hii inatokana na taaluma yangu na mafunzo kama askari.

Ila hao wanaowakusanyia pesa kwa wafanyabiashara wanajua wanafanya biashara. Uelewa wao na wangu ni tofauti ndio maana vijana wote wanaomfanyia hizo marketing hawajaenda shule. Hivyo hawajui hizi sheria. Kiufupi nao ni wahanga tu.
 
Wanachoudhi wanakifanya wachamungu tu yaani wanakwaza mnooo Hawa kenge
Wenzetu dini wamesomea wapi hyo ya dhulmaa?!
Wanazini,wanazaa hovyo wanamdhulumu n.k
Ila wajue wao ni maiti na wataulipwa Kwa Kila dhulma...
 
Asante sana ndugu yangu King Kong.

Sote tuwe wazaleno kwa nchi yetu.

Ushauri wako ni mzuri wana.

I will die for God and My Country.
 
NB: Kiwanja ambacho zipo ofisi za Silent Ocean kilikuwa cha CCM, na waliuziwa na Mzee Yusuph Makamba akiwa katibu Mkuu wa CCM, imagine such a location.
Hapa nakumbuka ilikuwa nyumba ya mzee mmoja wa kihindi yupo na mwanawe wa kiume. Sasahivi ni ofisi ya GSM nyuma ya ofisi yao kuna Durban Hotel(hii hotel wanafunzi wa UDSM wanaliwa sana) barabara ya Udowe na Lumumba.
 

Matajiri wengi wapo hivyo
Hapo hatujasikiliza upande wa Salaah
Wabongo wengi sio waaminifu wanaiba sanaa
 
Neno kutaifisha limetumika vibaya. Kutaifisha ni kuifanya Mali ya mtu au taasis binafsi kuwa Mali ya taifa.
Hapa ungetumia kudhulmu au kuteka nyara.
 
Cha kufanya mngeenda kwa mzee Yusuf Makamba nadhani atawasaidia ikiwa atakubali

Mzee Yusuf Makamba ni miongoni katika waTanzania wachache wenye nguvu sana ndani ya CCM na nchi hii kiujumla na kama unabisha ungeweza kumuuliza Hayati JPM angekuambia

Unaambiwa YUSUPH Makamba ndio aliewauzia kiwanja cha ccm! Yani kesi ya nyani upeleke kwa ngedere
 
Hakuna kitu watafanya. Haya yote wanayajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…