Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Duh uzi mzito huu,na unatisha Sana.

Siku moja nilipitia uzi wa aina hii unaomzungumzia Kaka yake bosi wa Yanga GSM enzi hizo miaka ya 2014 leo nagundua kwamba Hawa Jamaa ni mamafia hatari Sana. Kwenye ule uzi GHARIB GSM anashutumiwa Hadi kulawiti watu anaowatesa. Hawa Jamaa ni wa kuogopwa Sana asee. Leo ukimwona GSM mbele za watu Tena akiwa kwenye vazi lake analolipenda la kanzu anaoekana mtakatifu balaa Kumbe....

Utajiri una ukafiri mwingi sana.
 
Nasema nchi hii mama asaidiwe hakuna chombo chochote chenye uwezo wa kutoa haki mbele ya Hawa wahuni GSM.

Ndiyo maana mwisho imebaki Kwa mh.rais na mh.waziri mkuu tu.

Nina imani Sana Kwa mh.rais na mh.majaaliwa haki na Mali zangu zote zitarudishwa.

Lakini kama familia tumekubaliana kwanza tufate proper channels but siku video iliyotayarishwa tukaitoa basi hii ni zaidi ya kashfa.
 
Mwisho ndugu zangu watanzania, tujitafakari, nchini kwetu tunaonewa hadi na Saalah, this form four failure? Tunakwama wapi na tunapungukiwa na nini?
Imeuma mkuu, emu ukipata wasaa ongezea na huo mchuzi mwingine na hizo nyama nyama ulizobakiza kumhusu huyu mtu maana hatimae umetimiza ahadi yako saa 72 umemwaga mboga Salaah sasa anaandaa fulushi la majini uko akutupie

Sasa sijui atatuma la wiki la mwezi au la mwaka hapo sijui Ila kabla hajatuma km kuna ulichokibakiza kimalizie mkuu yaan mwaga yote yanamhusu usibakize na usimuonee huruma maana yeye hana huruma na wewe au mtu mwingine yeyote anajilengesha kwenye anga zake,

Na kingine hakikisha unaanza kutumia mafuta ya kitimoto km mafuta ya kujipaka utanishukuru siku moja
 
Umeongea vzr but hakuna kitu watafanywa Hawa watu , viongozi wa bongo wapo kimaslahi Yao ila sio wananchi
 
Katiba yenye makali ni muhimu sana​
 
Sio ndo kaka Yao kamwagiwa tindikali
 

Ndo maana Mungu alitupunguzia umri wa kuishi toka miaka 900 hadi miaka 70
Wanadamu sisi hatufai
 
Jamaa wanaswali sana, wanaonekana waungwana sana ila behind the scenes...
 
Kwa story hiyo mwenye tatizo ni huyo Elieud, sitetei ukatili ila ukikubali mkopo nje ya formal institution; kubali kulipa na kwa kanuni za mtaani pia.

Halafu wasafirisha mizigo wengi wanabadilisha fedha kwa mtindo huo, kwa sababu wanakuwa na hela pande zote mbili yeye sio wa kwanza. Kwa ivyo wanakurahisishia tu badala ya kutafuta hizo Yuen wao wanazo tayari nje ya nchi na sidhani kama kuvunja sheria.

Story nzuri itakuwa uhusiano wao na JK hiyo ndio naisubiri.
 
Kwa kweli hasa katika Nchi zetu za ki Africa unaweza ukawa muaminifu ukatangulizwa mbele kisa Utii wako.
Tena ukitaka kufa haraka au uchukiwe sana we kuwa muaminifu na mkweli utapewa majina mabaya mabaya watu wakisubiri anguko lako, kwahiyo kama kuna gape la kula piga tu watoto wako hawatakula uzalendo wako ambao mwishoe utatolewa mfano wa kama baba/mama mpumbavu kwa kushindwa kuwaandalia maisha wanao wakati ulikua na nafasi
 
Aseee!!tunaanzia wapi??mwongozo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…