Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Hapa Kwenye Mbolea Umenigusa.

Iwapo Yule mtu wa Yanga aliyejaza mchanga kwenye Ghala za Mbolea za Minjingu lengo lake ni kuharibu soko la Minjingu Ili wahindi walete Mbolea Yao?
 
Bro Wacha ku conclude mambo Mimi Nina miaka 39 nimeanza biashara nikiwa na miaka 20 ya familia mkopo wangu wa kwanza miaka 16 iliyopita nilikopa 500m na nililipa na niliendelea kukopa bank nyingi tu na kulipa.

Unapokuja kwenye suala la ku deal na mikopo na biashara kubwa Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 16.

Elewa naongelea dhulma na siyo kushindwa kulipa mkopo.

Nina company zaidi ya tatu
Na Nina mahusiano mazuri na bank nyingi tu.
 
Kama ni kweli Kuna kazi kubwa sana ya kufanya ila tatizo hii kampun ni biashara ya mstaafu mmoja mzito Ambaye ndiye mwenye remort ya Ikulu.

Lakini kama alikir kweli aliiba, na kama hao wahanga Walikuwa Wanafanya hii biashara haramu wote wanatakiwa wawe mahakamani sasa
 
Alichokosea Eliudi ni vitu kama viwili:
1. Kukubali kupewa Mkopo kwa njia isiyo rasmi. Malipo yake yanapaswa kuwa njia isiyo rasmi pia. Madai yake nayo vivyo hivyo. Salaah Hana leseni ya kukopesha na ndivyo hivyo ni kuaminiana tu baina Yao. Ana kiburi kwa sababu anajua huna kithibiti halali Cha kuonyesha makubaliano ya Mkopo wenu.

2. Kumuamini Pius na kushindwa kutekeleza ushauri wa Salaah. Hapa alikosea sana. Na Pius katumia gape Hilo kuchomoka kirahisi.

3. Kama alijua kiasi anachodaiwa na Salaah, kwa nini alikubali kupeleka kiasi chote Cha fedha? Kwa nini asingepela kiasi Stahiki tu? Sijaona Mahali umeandika Salaah akaendea fedha, nimeona tu Mahali umeandika Pius akapeleka fedha Silent Ocean kwa Salaah. Iweje ampelekee mpaka kiasi kilichozidi???

Hapa mwenyewe kwenye allegations zako hujabainisha ni kiasi Gani Pius anakidai. Bali ni makadirio tu ya Juu juu. Pius hajui alipeleka kiasi Gani? Hajui kiasi anachodaiwa? Chukua alichopeleka toa alichokuwa anadaiwa. Baki ni hiyo.
 
Mmh ngumu hii.ngoja nisome comment za watu mim hii haini husu.
 
GSM na ndugu zake ni kile kipande cha barafu kinachoonekana kuelea kwenye maji

Kupata haki pia ni ngumu Eliud awaombe samahani na maisha yaendelee wampe kazi aendelee nao
kuwatunishia msuli ni kazi isiyowezekana
Kuwafanyia mambo ya kiswahili inawezekana lakini unakuwa umeingia kwenye vita kubwa zaidi
Kubali matokeo anza moja
 
Rule namba 1 ni kuwa nyutro mjini kuna mengi na hii sio vita ya kwanza wala wew sio wakwanzA kuna dadaako MANGE KIMAMBI alioshaongea mpaka kachoka ashawachafua mpaka kachoka ndo kwanza wanapeta..Bashite anawajua vizuri aliwatapeli kiwanja mpaka Leo kesi ipo mahakaman GSM na salaah wanapigwa vita sana lakini wabongo bila kuwa mkatili utakufa maskini..uyo pius bila kula kichapo angejua pesa zilipoenda?? Uyo Eliud anashauriwa kuwa na Mhasibu yeye anaona Utani acha wapigwe tu bwana
 
Mengine yote nimefuta ili nukuu isiwe ndefu. Hapo ulipoelekeza ofisi za silent ocean zilipo napenda kuuliza kidogo kwa kuwa hiyo mitaa naifahamu sana kupita maelezo.

1) Umeandika zilipo ofisi za silent ocean ni "Mkabala na...", nijuavyo, Mkabala na jengo la CCM ni Shule ya Mnazi Mmoja, unamaanisha kiwanja cha shule ya Mnazi Mooja ndiyo kimeuzwa? Maana nilisikia licha ya Mnazi MMoja Primary School pia kwenye hivyo viwanja vya shule pia imejengwa Sekondari. Tafadhali fafanua.

2) Au kama hukumaanisha "mkabala" kwa maana ya kutazamana (opposite), Je, ulimaanisha pembeni ya jengo la CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…