Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wajasiriamali na wafanyabiashara katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Jumapili ya Pasaka ya April 20,2025 walisheherekea sikukuu hiyo pamoja na Mbunge wa Jimbo lao la Hai Saashisha Mafuwe
Mbunge Saashisha alikutana nao kwa lengo lakuwasikiliza changamoto zao pamoja nakuwaeleza yaleyaliyofanyika katika Jimbo hilo katika kipindi cha miaka 4 tangu alipochaguliwa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Hai Club Mjini Bomang'ombe.