Saasisha Mafue: Akiba ya Dhahabu iuzwe, fedha iwe ruzuku kwenye mafuta

Saasisha Mafue: Akiba ya Dhahabu iuzwe, fedha iwe ruzuku kwenye mafuta

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafue akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, ameiomba serikali kuuza sehemu ya akiba ya dhahabu ili kupata fedha za kutoa ruzuku kwenye mafuta na hivyo kupunguza gharama kwa wananchi.


“Tumeingia kwenye shida ya mafuta ambayo siyo ya kwetu ni ya kidunia sisi Watanzania tumekuwa wahanga lakini tuna rasilimali zetu tulijiandaa kwa hili ni maono ya Mheshimiwa Rais kwamba kuna shida inaweza kutokea na sasa imetokea tufanye maamuzi ya haraka fedha ipatikane tutoe ruzuku ili mafuta yarudi kwenye bei ya kawaida nadhani sasa ile ‘reserve’ ya dhahabu iuzwe tupate fedha ili fedha hiyo iende kwenye mafuta” Saashisha Mafue - Mbunge wa Jimbo la Hai.
 
Back
Top Bottom