Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
Duh, Rutashubanyuma umetisha mkuu...
Duh, Rutashubanyuma umetisha mkuu...
Vijijini waandike maumivu makali sana..................maana hakuna hata mjumbe mmoja anayeishi vijijini aliomo kwenye hiyo tume...................sasa wategemee nini?
Warioba alisema mpaka sasa watu 900,000 wamekwisha toa maoni...! Yeah - laki tisa tu ...!
Mkuu Ruta mie nilishastuka siku nyingi kuhusu zoezi hili la kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu katiba mpya ambayo inatakiwa itumike katika uchaguzi ujao 2015. Niliwahi kuandika kwamba usanii utafanyika na kuandika katiba nyingine ambayo itakuwa kama ya chama kimoja na hivyo kuipa magamba nafasi kubwa ya kubaki madarakani. Naomba tu kama katiba kama hiyo ikiandikwa Watanzania tuikatae kwa sauti moja.
Cha kushangaza tume hiyo ina watu chungu nzima waliowahi kushika nyadhifa mbali mbali nchini lakini hawa wote hawaongei ila ni Warioba tu!!! Sijui huyu Mzee ndiye msemaji wa tume hiyo!? Dalili kusema kweli za kupata katiba ambayo itaungwa mkono na Watanzania wengi zinazidi kufifia lakini kama tuwajuavyo magamba watachakachua matokeo ya kuunga/kutoungwa mkono kwa katiba hiyo mpya na hivyo itapita kwa kishindo na hivyo kuwawezesha magamba kutawala Tanzania milele!!!
[MENTION]Mkuu Ruta mie nilishastuka siku nyingi kuhusu zoezi hili la kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu katiba mpya ambayo inatakiwa itumike katika uchaguzi ujao 2015. Niliwahi kuandika kwamba usanii utafanyika na kuandika katiba nyingine ambayo itakuwa kama ya chama kimoja na hivyo kuipa magamba nafasi kubwa ya kubaki madarakani. Naomba tu kama katiba kama hiyo ikiandikwa Watanzania tuikatae kwa sauti moja.
Cha kushangaza tume hiyo ina watu chungu nzima waliowahi kushika nyadhifa mbali mbali nchini lakini hawa wote hawaongei ila ni Warioba tu!!! Sijui huyu Mzee ndiye msemaji wa tume hiyo!? Dalili kusema kweli za kupata katiba ambayo itaungwa mkono na Watanzania wengi zinazidi kufifia lakini kama tuwajuavyo magamba watachakachua matokeo ya kuunga/kutoungwa mkono kwa katiba hiyo mpya na hivyo itapita kwa kishindo na hivyo kuwawezesha magamba kutawala Tanzania milele!!!
hilo usilitegemee,,,tena watz wengi umuhim wa katiba hawaujui,kuna mambo mengi yanawagusa moja kwa moja hawayakatai,waje wakatae KATIBA?
Warioba alisema mpaka sasa watu 900,000 wamekwisha toa maoni...! Yeah - laki tisa tu ...!
few sana
Mzee ni bora angepuumzika awaachie vijana wa leo wawategenenzee vijana kesho. kama alivyofanya yeye alipokuwa kijana
hahahaha,,,,next tym nafas za vijijin mtuwekee
Rutashubanyuma - Tume Juu Ya Tume? No No No...! Anyways - Kwa mtizamo wangu hii Tume Ya Kukusanya na Kuratibu Utoaji Maoni ya Kuhusu "katiba mpya" is another "Babu wa Loliondo" all together...! Watawala waovu wanapeana "ulaji" at the expense of our "ignorance"...that is it...!Baba_Enock, Bamwanasha Hivi ni sahihi Warioba kujipima mwenyewe? Si ni vyema naye akapimwa na chombo kingine?
Rutashubanyuma - Tume Juu Ya Tume? No No No...! Anyways - Kwa mtizamo wangu hii Tume Ya Kukusanya na Kuratibu Utoaji Maoni ya Kuhusu "katiba mpya" is another "Babu wa Loliondo" all together...! Watawala waovu wanapeana "ulaji" at the expense of our "ignorance"...that is it...!