Sababu 10 za kuikana (DISOWNED) Tume ya Katiba ya Warioba...

Ukishakuwa kwenye NGO, au dini au siasa, haki zako za kuwa mtanzania, na kuchangia maoni ya katiba zinakufa.
LAbda uwe kwenye kamati au uwe ndio umeweka wajumbe wa kamati.

Maybe uwe unaunga mkono kamati 100%

big point Haika......baya zaidi hizo kazi hazimo kwenye hadidu zake za rejea.....................kajibunia majukumu mapya anafikiri anaweza kututisha........hatutishiki...........
 
Last edited by a moderator:

a pia mwananchi kama mimi hata kama nimejifunza kwa juhudi zangu mwenyewe, sitakiwi kusemea jambo ambalo hawa wanaokwepwa wanasemea,
la sivyo mimi ndio nimefundishwa nao?

hiyo iko wapi katika hadidu za rejea ka kamati?

Au waliambiwa wakusanye maoni kutoka kwa illiterates tu? alitegemea nini?
wananchi waombe serikali iwajengee nyumba?

naomba kujua, katika hiyo tume age distribution ikoje?
 
Haika kama Warioba angelikuwa anajuheshimu angelibwaga manyanga........................lakini kwa vile analiabudu tumbo lake ndiyo maana ataendelea tu kugangamala.........

Au waliambiwa wakusanye maoni kutoka kwa illiterates tu? alitegemea nini?
wananchi waombe serikali iwajengee nyumba?

naomba kujua, katika hiyo tume age distribution ikoje?
 
Last edited by a moderator:
mgen hatupaswi kukataa tamaa
Hofu yangu ni kwamba wananchi wengi dhamira zimekufa! Huku kwetu uswazi akipita fisadi na kuacha jero jero kijiweni ataonekana wa maana sana kuliko wewe unaewaelimisha kwamba kinacho kuja (kama kitafanikiwa) Ni katiba mpya, na "SIO MKUTANO WA KATIBA!" Yote haya ni kutokana na somo la URAIA hatukuliwekea maanani kuanzia familia zetu! Mkuu usishangae baba familia anamfundisha mwanae tena kwa msisitizo kwamba; "ALIE JUU MNGOJE CHINI!" badala ya kumfundisha planB kwamba; kama hashuki mpandie au kata mti! utasikia "UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA WEWE TIA MAJI! Badala ya kumwambia ukiona mwenzio ananyolewa wewe noa panga ili akija kukunyoa mkate kichwa! "CHA MVUNGUNI LAZIMA UINAME!" badala ya kumfundisha kubidua kitanda ili upate kilicho cha mvunguni! Tumeiishi mifano hii ya kishetani practically, hapo ndipo tulipo jikwaa hadi wanetu wanakalia mawe na kucheza gololi mashuleni na sie wazee wao tukifa sanda kiroba!
 
mgen Kila mahali ukienda tumezongwa na mbinu za medani za mafisadi....................na wengi wetu tupo kwenye usingizi wa pono...hatujui kwanini gharama za maisha hazishikiki.............
 
Last edited by a moderator:
DSC08560-467x600.jpg

kazi ya warioba ni kukusanya maoni au kuoni hata kabla ya rasimu haijatoka?
 
Back
Top Bottom