Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
Ukishakuwa kwenye NGO, au dini au siasa, haki zako za kuwa mtanzania, na kuchangia maoni ya katiba zinakufa.
LAbda uwe kwenye kamati au uwe ndio umeweka wajumbe wa kamati.
Maybe uwe unaunga mkono kamati 100%
a pia mwananchi kama mimi hata kama nimejifunza kwa juhudi zangu mwenyewe, sitakiwi kusemea jambo ambalo hawa wanaokwepwa wanasemea,big point Haika......baya zaidi hizo kazi hazimo kwenye hadidu zake za rejea.....................kajibunia majukumu mapya anafikiri anaweza kututisha........hatutishiki...........
a pia mwananchi kama mimi hata kama nimejifunza kwa juhudi zangu mwenyewe, sitakiwi kusemea jambo ambalo hawa wanaokwepwa wanasemea,
la sivyo mimi ndio nimefundishwa nao?
hiyo iko wapi katika hadidu za rejea ka kamati?
Hofu yangu ni kwamba wananchi wengi dhamira zimekufa! Huku kwetu uswazi akipita fisadi na kuacha jero jero kijiweni ataonekana wa maana sana kuliko wewe unaewaelimisha kwamba kinacho kuja (kama kitafanikiwa) Ni katiba mpya, na "SIO MKUTANO WA KATIBA!" Yote haya ni kutokana na somo la URAIA hatukuliwekea maanani kuanzia familia zetu! Mkuu usishangae baba familia anamfundisha mwanae tena kwa msisitizo kwamba; "ALIE JUU MNGOJE CHINI!" badala ya kumfundisha planB kwamba; kama hashuki mpandie au kata mti! utasikia "UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA WEWE TIA MAJI! Badala ya kumwambia ukiona mwenzio ananyolewa wewe noa panga ili akija kukunyoa mkate kichwa! "CHA MVUNGUNI LAZIMA UINAME!" badala ya kumfundisha kubidua kitanda ili upate kilicho cha mvunguni! Tumeiishi mifano hii ya kishetani practically, hapo ndipo tulipo jikwaa hadi wanetu wanakalia mawe na kucheza gololi mashuleni na sie wazee wao tukifa sanda kiroba!mgen hatupaswi kukataa tamaa
Hofu yangu ni kwamba wananchi wengi dhamira zimekufa! Huku kwetu uswazi akipita fisadi na kuacha jero jero kijiweni ataonekana wa maana sana kuliko wewe unaewaelimisha kwamba kinacho kuja (kama kitafanikiwa) Ni katiba mpya, na "SIO MKUTANO WA KATIBA!" Yote haya ni kutokana na somo la URAIA hatukuliwekea maanani kuanzia familia zetu! Mkuu usishangae baba familia anamfundisha mwanae tena kwa msisitizo kwamba; "ALIE JUU MNGOJE CHINI!" badala ya kumfundisha planB kwamba; kama hashuki mpandie au kata mti! utasikia "UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA WEWE TIA MAJI! Badala ya kumwambia ukiona mwenzio ananyolewa wewe noa panga ili akija kukunyoa mkate kichwa! "CHA MVUNGUNI LAZIMA UINAME!" badala ya kumfundisha kubidua kitanda ili upate kilicho cha mvunguni! Tumeiishi mifano hii ya kishetani practically, hapo ndipo tulipo jikwaa hadi wanetu wanakalia mawe na kucheza gololi mashuleni na sie wazee wao tukifa sanda kiroba!