Sababu 12: Kwanini unywe bia

Sababu 12: Kwanini unywe bia

Waitress niongeze Castle lite kama ushauri wa dakta!!!😀

me me naomba valuer au spirit apa...
kama zote hauna....naomba smirn off

Serengeti moja baridi tafadhali

waiters leteni kili 3 baridiiii

Tusker lite bariiiiiiiidiiiiiii tafadhali!!

Waiter haraka safari baridi tafadhali

kiukweli nimesikia serengeti baridiii

nimehisi sikukuuuu kweli imefika

Kupitia hizi comment nmejfunza kitu.. kumbe watu wengi tunapenda hizi bia.. ila siku hizi kuna kautamaduni ukifika pub asilimia kubwa wanatumia heineken, windhoek na kdogooo castle lite
 
Kupitia hizi comment nmejfunza kitu.. kumbe watu wengi tunapenda hizi bia.. ila siku hizi kuna kautamaduni ukifika pub asilimia kubwa wanatumia heineken, windhoek na kdogooo castle lite

Mkuu Windkok imeshuka ni 2500,Heineken ni 3000 na hazina mning'inio
 
Najiuliza, haya mafaida ni kwa bia za mbelembele au hizihizi za maji ya kisima pale ilala na Keko?
 
Najiuliza, haya mafaida ni kwa bia za mbelembele au hizihizi za maji ya kisima pale ilala na Keko?

mkuu umetisha
nafikiri ishu siyo maji, otherwise wangesema tu tugonge DAWASA,
hapa nfikiri ishu ni bia, hata kama wametumia ya bonde la jangwani
 
Bia ukichanganya na komoni ya asali weweeee,
Au kaulanzi kidogo.......
Ila tatizo ni un portable comparison to JANI🙂
 
Back
Top Bottom