Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Waitress niongeze Castle lite kama ushauri wa dakta!!!😀
me me naomba valuer au spirit apa...
kama zote hauna....naomba smirn off
Serengeti moja baridi tafadhali
waiters leteni kili 3 baridiiii
Tusker lite bariiiiiiiidiiiiiii tafadhali!!
Waiter haraka safari baridi tafadhali
kiukweli nimesikia serengeti baridiii
nimehisi sikukuuuu kweli imefika
Kupitia hizi comment nmejfunza kitu.. kumbe watu wengi tunapenda hizi bia.. ila siku hizi kuna kautamaduni ukifika pub asilimia kubwa wanatumia heineken, windhoek na kdogooo castle lite