Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

By the way mapenzi ni ukum* tu
Nlipenda manzi moja hivi dah sitakaa nisahau
Dem kachepuka na nikajua!
Alilia saan hadi kugalagala akitaka nisamehe
Nlikua nnampenda na hakika nlisamehe
Ila nlikua natafunika ndani kwa ndani
Nkiwaza haya yoote ulioandika
Siku moja nkasema liwalo na liwe
Nliumia saana kipindi kile il nliona bora hivyo kuliko kuishi na huzuni siku zote
 
Makosa 9 ambayo unaweza kumsamehe mwanamke baada ya kumpa onyo kali;
1. Kuzidisha chumvi kwenye mboga/chakula.
2. Kutoweka chumvi ya kutosha kwenye chakula.
3. Kupika chakula kibichi
4. Kuonyesha kujali sana ajira yake na kutaka kusahau majukumu ya mke.
5. Kuonyesha kujali sana mambo ya kanisa kiasi cha kuanza kujisahau na majukumu kama mke.
6. Kuwa na ukaribu na mtu anayetajwa kama "Baba wa kiroho"... hili kosa onyo lake linatakiwa liwe zito zaidi.
7. Kuanza kupeleka sana pesa kanisani kwa kudai ni zaka na sadaka.
8. Kuendekeza uvivu kitandani.
 
By the way mapenzi ni ukum* tu
Nlipenda manzi moja hivi dah sitakaa nisahau
Dem kachepuka na nikajua!
Alilia saan hadi kugalagala akitaka nisamehe
Nlikua nnampenda na hakika nlisamehe
Ila nlikua natafunika ndani kwa ndani
Nkiwaza haya yoote ulioandika
Siku moja nkasema liwalo na liwe
Nliumia saana kipindi kile il nliona bora hivyo kuliko kuishi na huzuni siku zote
Safi sana ulifanya maamuzi ya kiume mwanetu
 
Back
Top Bottom