Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

Sema mtu huwezi kumzuia lkn asigundulike 🤣🤣maana tamtimua saa sita mchana na huku uswahilini watakuzodoa mpaka ukome
Usaliti unauma sana mkuu. Sio kwa wanaume tu hata kwetu wanawake. Ukifikiria atakuwa alipiga deki hiyo papuchi ya mchepuko unaweza kuchanganyikiwa.
Ukiwaza kama mchepuko unaenda kwa mpalange na jamaa kaenda kwa mpalange tena Raw hahahaaa.
Ukifikiria na hela kampa, haloooo. Huwa haisameheki.
 
Usaliti unauma sana mkuu. Sio kwa wanaume tu hata kwetu wanawake. Ukifikiria atakuwa alipiga deki hiyo papuchi ya mchepuko unaweza kuchanganyikiwa.
Ukiwaza kama mchepuko unaenda kwa mpalange na jamaa kaenda kwa mpalange tena Raw hahahaaa.
Ukifikiria na hela kampa, haloooo. Huwa haisameheki.
Ndo maana mi sipendagi kujua background ya mtu naedate nae au naetaka kumdate maaana wengi anaolala nao ni hao hao 🤣hua nachukulia kama ndo nimeanza nae tu na nkiwa nae in relation kama anafanya uchafu wake nsijue
 
Mwanamke akisaliti hawezi kuacha. Atasaliti tu
Kuishi na mwanamke ambaye amekusaliti ni mtihani, huwezi kuishi kwa amani maana muda wote ukifikiria alivyokunjwa unapata hasira.
Unaweza kuwa mpo kwenye jambo la furaha ila hali ikabadilika unapokumbuka usaliti wa mkeo. Ndiyo maana huwa tunaacha mwanamke
š–¶š–¾š—š–¾ š—Žš—†š–¾š—Œš–¾š—†š–ŗ š—„š—š–ŗš—†š–»š–ŗ š—š—Žš—’š—ˆ š–ŗš—…š—‚š—’š–¾š—‡š–ŗš—’š–¾ š—š–ŗš—š–ŗ š—’š–¾š—’š–¾ š–ŗš—…š—‚š–æš–ŗš—‡š—’š–ŗ š—Žš—Œš–ŗš—…š—‚š—š—‚ š–ŗš—„š–ŗš–ŗš–¼š—š—‚š—„š–ŗ,, š—Œš—š–ŗš—…š—‚ š—…š–ŗš—‡š—€š—Ž š—‡š—‚ š—„š—š–ŗš—†š–»š–ŗ š—ƒš–¾š— š—‡š—‚ š—š–ŗš—‡š–ŗš—š–ŗš—„š–¾ š—š—ˆš—š–¾ š—š–ŗš—‡š–ŗš–ŗš–¼š—š—‚š—„š–ŗ š—„š—š–ŗ š—„š—Žš—š–ŗš—Œš–ŗš—…š—‚š—š—‚ š—š–ŗš—‰š–¾š—‡š—“š—‚ š—š–ŗš—ˆ š–ŗš—Ž š—š–¾š—‡š—“š–ŗ š—š–ŗš—ˆ?????
 
Usaliti unauma sana mkuu. Sio kwa wanaume tu hata kwetu wanawake. Ukifikiria atakuwa alipiga deki hiyo papuchi ya mchepuko unaweza kuchanganyikiwa.
Ukiwaza kama mchepuko unaenda kwa mpalange na jamaa kaenda kwa mpalange tena Raw hahahaaa.
Ukifikiria na hela kampa, haloooo. Huwa haisameheki.
Hahahahaha
 
Honestly mwanamke kwangu mimi akishanisaliti

Upendo kama ule wa mwanzoni hauwezi kuwepo tena.

Sintaweza kuvumilia....maana hilo tukio litakuwa linajirudia mara kwa mara kichwani kwangu.
Sahihi
 
Honestly mwanamke kwangu mimi akishanisaliti

Upendo kama ule wa mwanzoni hauwezi kuwepo tena.

Sintaweza kuvumilia....maana hilo tukio litakuwa linajirudia mara kwa mara kichwani kwangu.
Kaka omba sana mungu asikupitishe kwenye wakati kama hu kwenye maisha yako
2017 nlipitia hili
2022 tena
Ila matokeo yake nmekua jasiri
Imenijenga ki fikra ya kuamini
Kum y mwanamke anaweza itafuna yoyote anaetaka !
Iwe unapenda au hupendi
 
MSALITI HASAMEHEWI [emoji777]

Back in the days mwaka 2017 wakati nd'o naanza kujitafuta kimaisha nikiwa bado chalii mwenye kiu ya mafanikio nilichomoka home nikaenda mbali na kuanza kujitegemea. Alhamdulillah life likanyooka fresh tu.

Katika misele yangu nikakutana na manzi fulani ya kawaida tu ila alikuwa fighter si mchezo. Nikazimika na uchakarikaji wake. Wakati huo nd'o kwanza alikuwa ametoka kumaliza form six na majibu yalipotoka, hakufanya vizuri so akaamua ajichanganye kwenye mbishe za kitaa akisupply matunda.

Nikamtokea na sounds za hapa na pale, akakubali. NAKAZIA Bidada alikuwa wa kawaida mno hadi washkaji zangu wakashangaa nilipowambia natoka nae ila mimi sikujali nilimpenda kweli na kilichonivutia ni ile spirit ya upambanaji aliyokuwa nayo, kichwani very smart, ule upole wake na vile alikuwa anajisitiri nikaona huyu ndio mke sasa. Kumbe lipuuzi tu lilikuwa boonge la shetani, limalaya pro max.

Wakati huo bado alikuwa anaishi kwa mjomba wake, mama yake alishafariki kitambo, mzee alikuwepo lakini hakuwa na time nae ni kama alimtelekeza hivi hivyo mjomba akalivaa jukumu la malezi japo kwa shida maana hata shule alisoma kwa tabu mno(Jinsi alivyonisimulia mwenyewe)

Story yake ilinigusa, nikajawa huruma zaidi nikaona sio kesi ngoja nimpe support as a partner. Basi nikamfungulia ka'stationary akawa anaokoteza hapo huku nikiendelea kumpa tafu kwenye mambo mengine muhimu kama wapenzi.

Nilipanga kumuoa kabisa, nikapeleka barua ya uchumba kisha mahari. Vikao vya ndoa vikaanza hasa upande wa familia yangu walilivalia njuga swala letu la ndoa.
Basi mipango ikaenda harakaharaka.

Wakati vikao vinaelekea mwisho, zikiwa zimesalia siku chache tukamilishe tukio siku moja akaja home kunitembelea wakati wa kuondoka akasahau simu yake ndogo chumbani kwangu.

Simu ilikuwa imejiviringisha kwenye shuka, sikuiona. Nilikuja kugundua baadae nilipojilaza tena kitandani nikahisi kitetemeshi(vibration) kucheck ni simu inaita. Sikuwahi kugusa simu yake lakini jinsi ile namba ilivyoseviwa ilinitia shaka, iliseviwa (bz) Nikapokea akaongea mwanaume "Mambo beby" sikujibu nikakata simu kwa panic na ghadhabu.

Nikaingiwa wenge vibaya nikaona nipekue zaidi. Aiseee ningejua pengine ningepotezea tu. Nilikuta mameseji ya kutisha tisha humo ndani mengine ya kusifiana mambo ya faragha mangine ya kumisiana na kuhitajiana tena kwa mara nyingine, mengine ya kuniteta na kuninanga ile mbaya na mipango ya namna watakavyouendeleza mchezo wao baada ya mimi kumuoa.

Nikaendelea kupekua zaidi nikakuta sms za washkaji wengine mbali na huyo jamaa wakipanga miadi yao ya kukutana, wengine wakilalamika mbona hapokei simu zao. Nilihisi kufakufa aiseee kwa mara ya kwanza nikalia kwa ajili ya mwanamke, nikajiona kabisa sasa napagawa, nawehuka mimi.

Alirudi home ghafla nadhani baada ya kushtuka huko njiani kuwa alisahau bomu lake la siri. Akarudi mbio mbio mpaka home akanikuta niko room nimekaa sakafuni nimejiinamia nalia kama chizi.

Nadhani alishtuka mapema alishaelewa kilichotokea, alivyo mpuuzi zaidi na yeye akapiga magoti na kuanza kujiliza akiniomba msamaha kwamba kama kuna sms mbaya zozote nilizoziona hakuwa amekusudia alipitiwa tu.

Kwa hasira nilizokuwa nazo nikaona bora nimtimue maana ningeweza kufanya tukio la hatari muda ule nikajiweka matatani bure.

Nikampigia simu sister home amwambie bi mkubwa nimeghairisha mipango ya ndoa. Nikamjulisha na mshenga akawaambie kwao kuwa hakuna ndoa tena. Nami nikahama mji na kutokomea zangu mbele hukoo. Mpaka leo huwa nikifikiria kuoa naonaga ni jambo la kipuuzi kabisa
 
Back
Top Bottom