Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

Mwanamke msaliti hapaswi kusamehewa hata kidogo, mwanamke asimuache mumewe kwa sababu ya usaliti.
Hapana mkuu na mwanaume msaliliti ni mpumbavu vile vile, kama wee kweli kidume weka wazi mwambie mko wawili au watatu halalisha mitaala sio kula kwa kujificha ndo mwanzo wa kujizolea majanga
 
Mimi namsamehe vizuri tu cha muhimu tucheki afya mizagamuo iendelee ,mambo ya kuvimba hasira kwa mtu mwenye ana maamuzi ya kumpa utamu wake nani, mimi sinaga hizo pigo .
Una upako mzee wa likes 😂

Au labda na wewe mzee wa skirt so ngoma droo wanaita IDGAF! shida ni ile unakuta wameharibu mgodi wako umezoea unajichimbia taratibu comfortably ila unakuta SKAVETA sijui GREDA iliopita hapo imeacha wigo mpaaaana unajiulza huu mgodi au bwawa? Waambie walinganishe na size jamani ziwe znaendana iwe ngumu kushtuka
 
😁😁😁😁😁
 
Kwa mfano anakusaliti na haujui na ukauliza uliposikia kakukatalia na ukakosa uthibitisho kama kakusaliti by nature kakusaliti vipi nae afukuzwe huku huna uthibitisho??
Uzinzi haufichiki otherwise wewe uwe boya ujue na ulazimishe kuficha hauwezi kusema haujui wakati huo unajaji kakusaliti means alichofanya unajua ila unajifaliji.
 
Hapana mkuu na mwanaume msaliliti ni mpumbavu vile vile, kama wee kweli kidume weka wazi mwambie mko wawili au watatu halalisha mitaala sio kula kwa kujificha ndo mwanzo wa kujizolea majanga
Nzuri hii👍
 
Malaya ni laana

Fukuza kabisa nyumbani kwako asikuletee mikosi

Nakubaliana nawe kila neno uliloandika kwenye huu uzi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usome hapa Certified Hater, btw your Pumpkin Squash reported my trustworthy ID about fabicated case , This is totally horrible 🤣 🤣 unfortunately shoga yake wa dom, Akaniuzia Mafile 🤣 🤣
 
Ni mwanamume mjinga na mpumbavu tu ndiye anayemsamehe mwanamke msaliti.

Tuangazie sababu 12 kwa nini usimsamehe huyo malaya msaliti...
kama wewe haujawahi kuzini basi uwe wa kwanza kurusha jiwe. hasara kubwa ni kwamba, mtu akikukosa akarudi akaomba msamaha kwa kutubia hilo kosa (kwa kukiri kosa na kuomba msamaha), unatakiwa kumsamehe, usipomsamehe ni dhamb, na pia Mungu hatakusamehe wewe dhambi zako. hivyo kama haujasamehe hata ukifa leo ni motono moja kwa moja.
 
Mungu hana la kupoteza ndio maana anasamehe tofauti na wewe
 
Design kama umepigwa na kitu kizito kichwani? Shemeji wamemmimina Nini? maana sio kwa Uzi huu😂😂😂
 
Mimi namsamehe vizuri tu cha muhimu tucheki afya mizagamuo iendelee ,mambo ya kuvimba hasira kwa mtu mwenye ana maamuzi ya kumpa utamu wake nani, mimi sinaga hizo pigo .
If you take back a woman who cheated on you, you have no self respect

Finished man
 
Mungu hana la kupoteza ndio maana anasamehe tofauti na wewe
Neno la Mungu limesema, usipowasamehe watu makosa yao, na Mungu hatakusamehe makosa yako. wala sio nadharia, Mungu pia ana sheria zake alizozisema ambazo huwa lazima azitimize. hii ndio maana Yesu alisema tusamehe saba x sabini.
 
Back
Top Bottom