Sababu 3 kwanini Dkt. Philip Mpango ndiye Rais ajaye

Mwigulu alipita world bank pia, awe raisi naye
 
Rais ajaye ni Ridhiwani au January makamba
Niwaambie tu kwamba Rais ajaye hajawahi kufikiriwa kuwa Rais na wengi watashangaa sana. Pona yake ni kuibuka kutokana na vita vya makundi ya wanaojiona wao ndio. Hapo Sasa Taifa litampata Mgombea asiyewahi kuwaziwa kabisa. Tunzeni hii comment.
 
Dr.nchimbi
 
Haya ndo maendeleo yanavyojadiliwa na GTs

Tutoke ujingani jamani. Nchi inahitaji thinkers na siyo sinkers na stinkers
 
Upuuzi Mtupu
Mtu Anayetajwa Ni Wa Baridi Sana Hata Ubunge Alipata Kwa Fitna Kama Unabisha Sema Suuu!!
 
Niwaambie tu kwamba Rais ajaye hajawahi kufikiriwa kuwa Rais na wengi watashangaa sana. Pona yake ni kuibuka kutokana na vita vya makundi ya wanaojiona wao ndio. Hapo Sasa Taifa litampata Mgombea asiyewahi kuwaziwa kabisa. Tunzeni hii comment.
Unaongolea 2030 -3035 au 2025-2030?
 
Reactions: Ame
CCM jikoni huwa wanapenda kumpa urais mtu anaecheza kwenye umri wa miaka 55 mpaka 65 hivi kwa hilo tayari Philip Mpango kashaenguliwa mapema sana

Hapo tuongelee akina Mwigulu ,Hammad Masauni,Tulia Ackson
Tulia atulie tu kwa kweli , we are no longer ready with a woman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…