Sababu 5 kwamba nyumba yako ipo katika hatari ya kuungua kwa moto wa short ya umeme

Sababu 5 kwamba nyumba yako ipo katika hatari ya kuungua kwa moto wa short ya umeme

Ona jambo la kitaalam kama hili halina wachangiaji. Ngoja Bavicha wazushe jambo hapa, wachangiaji wangefikia zaidi ya 800. Nchi iliyojaa wajinga hutumiwa kwa ujinga wao. Ahsante sana nimepata maarifa mengi humu

Sio lazima kuchangia, kusoma tu kumesaidia kuelewa
 
Haya yangekua yanazingatiwa majanga haya yangepungua
 
Asante mkuu... Nmepata kujua la kufanya pindi nikijenga makazi yangu.
 
Bila shaka mkuu waweza kuzitumia vizuri kabisa.Ila katika socket ya cooker kama utaweka tumia waya kuanzia 4mm na kuendelea.

mkuu sasa ukitumia waya wa 4mm kwenye MCBs ya 20amp haitaleta ukinzani apo
 
Back
Top Bottom