Nilisema mwanzoni kuwa mtu anaweza kuwa safi kwa sababu hajawahi kuwa karibu na uchafu; na mtu mwingine anaweza kuwa safi kwa sababu aliuondoa uchafu..
Hivi mnataka nini zaidi ya hapo jamani? Au mnataka JamiiForum ifungiwe kwa kusema Rais wa TZ anauza sura na kucheka cheka hovyo ndio tuamini kwamba JK sio dhaifu? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni jamani!
Give me a break!
Hivi zile ajira millioni moja alitimiza? Wapi alikowaajiri? Ndio kwanza anawapa kipaumbele wageni wakati kazi wanazofanya zinaweza kufanywa na wazawa.
Orodhesha watu 51 wanaofaa kuchaguliwa if JK steps down...!!!
Orodhesha watu 51 wanaofaa kuchaguliwa if JK steps down...!!!
Uchaguzi ndio umeshakaribia na hadi sasa inavyoonekana wananchi wengi wanaishi maisha ya ujima,na tatizo ni uongozi mbaya.Watanzania tunaweza kuitoa serikali madarakani. sababu zipo nyingi ukiachana na kabineti yote kujawa na marafiki wa mkulu amediriki hata kuwaingiza watoto wake madarakani.mtoto bado yupo primary ashapewa shavu na hiki ni kipindi cha kwanza tu .sasa akiingia awamu ya pili lala salama unafikiri kitu gani kitatokea. tukimpa tena tutajuta kuzaliwa kwanza atabadilika na kuwa mkali hapo ndio mtajua kwa nini penguin haruki kama ndege wengine.lakini sasa tumtoeje?
Re: Кikwete asirudi madarakani
- Atarudi tu tena kwa kishindo, wananchi wengi bado hatuelewi umuhimu wa kura zetu! Iispokuwa the best thing ni kuendelea kujaribu kuwaamsha hao 70%, cha ajabu ni kwamba wengine wako humu JF.
Respect.
FMEs!