Sababu 51 za Kikwete kutogombea 2010

Sababu 51 za Kikwete kutogombea 2010

Not this year but in due time. You can't force change nor rush it. It will come naturally once opposition has matured. Right now we must bring back Kikwete and CCM.
Change has to come. It is needed this year and not a day longer than Kikwete's tenure. If change is to come through CCM then let it be, but its leader should not and can never be Kikwete. He has failed and stagnated the country in all possible ways for the last 4+ yrs. Kikwete needs to start packing.
 
Wiki hii tunamaliza zile sababu 51..!!!! phew!!
MMJJ, Inabidi uongezee sababu zaidi maana bado JK anaendelea kuzitengeneza. Kwa miaka 4 alikuwa wapi bila kutatua tatizo la msongamano wa magari Dar halafu uchaguzi unapokaribia ndio anakuja kuwadanganya watu na flyovers?
 
Kikwete anayo mapungufu yake, yaweza kuwa mengi sana lakini sidhani kama yanazidi ya wale anaowaongoza..Toka nimefika hapa Tanzania ni maajabu tu ya Firaun maanake nayokutana nayo sijawahi kuyaona mahala popote duniani maanake watu wamekuwa kama ndama...hakuna program yoyote inayoweza kufanywa kwa ufasaha na huyo Kikwete mkuu wa nchi hawezi kusimamia kila kitu kuhakikisha ufanisi wake. Kikwete anashindwa kufanikisha lolote sii kwa sababu hawezi yeye ila sisi wenyewe ndio kwanza kila mmoja wetu kaondoa Uzalendo......Pengine Kikwete anahitaji kuwa Dikteta kuweza kuimudu hii nchi yetu lakini kwa kutumia hiyo demokrasia yenu sijui..na pengine haiwezekani kabisa.. hapa ndio Dar es Salaam njoo uliwe ukiwa hai!
Mkandara, Kikwete kazi imemshinda tusimtafutie visingizio. Kiongozi ukiwa imara na mfuatiliaji, walioko chini yake wote wananyooka na kuwajibika. Lakini kiongozi akiwa mzembe, mvivu, asiyefuatilia walioko chini yake, mpenda anasa, porojo na vingi vinginevyo vya aina hii, walioko chini yake nao wanaharibika mara dufu. Serikali ya Kikwete ni kama iko holiday, kila mtu anafanya lake binafsi maana hakuna kiongozi wa kuwafuatilia majukumu yao. Lazima Watanzania tukazane kumuondoa JK kwa njia yoyote ile kama tunataka nchi iendelee na kuacha kumtungia visingizio.
 
Nadhani hapo kwenye maandishi mekundu ndo tunapopotea.

Anayedhani Kikwete ndo kikwazo kwa maendeleo ya nchi hii ni mvivu wa kufikiri.

Kama Watanzania tungekua makini na Kikwete kilaza kama baadhi yetu tunavyodai, basi hata huo uraisi asingeuona.
 
1. Nadhani hili la kumondoa kikwete ni la juu sana kuwaza kabla hatujaanzia mashinani! Ninachoona mimi tushughulike na wabunge na madiwani. tuwaondoe wale uchwara (ambao wengi wao ni ccm). Then ikifika bungeni watkuwa kama wanacontrol nchi na kikwete hatakuwa na la kufanya!
2. Nani then tumchangue. Nimekuwa nikijiuliza, ndiyo Kikwete hatufai (anayebisha naye fisadi ama mswahili!!!) ila nani mwingine? tupeni habari za watu tudhaniao wanaweza kuongoza nchi. Kwa bahati mbaya niko mabli na nyumbani lakini piga ua lazima nije kumnyima Kikwete kura yangu...afadhali kivuli!!!
3. Uchaguzi ni lini?(exact days)
 
Kasoro Na. 35: Je unadhani ni sifa gani zinahitajika kupata watu wa hizo nafasi?
 
49.Ametumia fedha za walipa kodi na raslimali zetu kujirusha ikulu kwa ma-dinner na ma pari (part) na watu mbalimbali mara ooh wafanyabiashara maarufu,wanyange (warembo )wa East africa...ohh mwanamuziki mashuhuri...ooh Mtanzania anayecheza Basketball USA....so what??
 
Kasoro Na. 35: Je unadhani ni sifa gani zinahitajika kupata watu wa hizo nafasi?

35: Akionesha kutokujali sifa za watendaji wake amewateua watu mbalimbali wenye utata wa maadili, na elimu na kuwapa nafasi za kuongoza wizara, na idara nyeti. Miongoni mwao:ingekuwa ni mimi

- Mustaffa Mkullo - Waziri wa Fedha(Abdallah Kigoda)
- Emmanuel Nchimbi - Naibu Waziri wa Ulinzi na JKT(Hassan Ngwilizi)
- Andrew Chenge - Alikuwa Waziri wa Miundombinu(sio issue tena hayupo)
- Peter Noni - aliyesimamia akaunti ya EPA ikichotwa na sasa kapewa Benki ya Raslimali (TIB-Rosemary Mwakitwange Mwamasika)
 
35: Akionesha kutokujali sifa za watendaji wake amewateua watu mbalimbali wenye utata wa maadili, na elimu na kuwapa nafasi za kuongoza wizara, na idara nyeti. Miongoni mwao:

- Mustaffa Mkullo - Waziri wa Fedha
- Emmanuel Nchimbi - Naibu Waziri wa Ulinzi na JKT
- Andrew Chenge - Alikuwa Waziri wa Miundombinu
- Peter Noni - aliyesimamia akaunti ya EPA ikichotwa na sasa kapewa Benki ya Raslimali (TIB)
- n.k

kaka mbona umemsahau yule mama SS naona anafaa kabisa kuingizwa kwenye hili kundi, sijui kama kweli huyu mama vyeti vyake viko sahihi kweli na kama kweli basi nina wasiwasi na shule yake, unless aniambie kuwa degree yake ilikuwa ni simulated, au kuna vionjo alivitumia kupata hiyo degree, Kikwete ameprove kuwa incompetent kutokana na hawa watumishi ambao anashindwa kuwawajibisha, it is shame!!!
 
mbadala wake anaweza kuwa nani?maana asingombee sawa nani agombee?
 
mbadala wake anaweza kuwa nani?maana asingombee sawa nani agombee?
Hili ndio suala la kufikiria na kuanza kutafuta mpiganaji wa kweli kum-replace JK. Wanaofaa na wenye majina, wote inaelekea hawako tayari kupambana na JK.
 
Mh. Rais mi nakupa Big up wasikuchonganishe hili yai viza likapasukia kwako na wewe libebe hivihivi kisha akimaliza miaka mingine huyo atakaye lichukua limpasukie ili heshima kwako iwepo si unaona kwa BM? Raisi ajaye ndio ataamua kuhusu EPA na mambo mengine ya mikataba. Safi sana kwa Utawala wako maana Ufalme wa milele utauona. safi sanaaaaaaaaa
 
huyu vp; au umeambiwa utapata viti maalum?
 
Yeye mwenyewe tapeli unadhani atawachagua kina nani kama siyo matapeli wenzake. Hatufai jamani huyu jamaa, na kama atashinda msimu huu si kwa asilimia nyingi kama 2005. Kwanza afe tu.
 
Back
Top Bottom