Kagoma ndio kuna ofa zimekuja bado wanajadiliana waongeze dau au asepeNabi kagoma kusaini mkataba mpya?
Alisaini mwaka na nusu mwezi wa nne mwaka jana,huu mkataba unaisha mwezi wa kumi,bado miezi miwili kuna timu zinataka kumlipa milioni 100 wakati huku kwetu hafikishi hata milioni 30Nabi hajaongeza mkataba? je mkataba wake wa sasa unaisha lini?
Furaha unayo?Ayo yoote uliyo ainisha apo ndio Makombe ya Simba na tunawapongeza , sisi Yanga furaha yetu ni kuendelea kuomba Mungu tufike tarehe 13/08/2022 salama. Siku iyo ndio tunaanza kuchukua taji la kwanza katika msimu wa 2022/2023.
Ngoja tuone maana hali mbaya ila Hawa makocha wa kigeni wanazingua kama yule van wa Simba alivyoondoka ni dizain kama hiiAlisaini mwaka na nusu mwezi wa nne mwaka jana,huu mkataba unaisha mwezi wa kumi,bado miezi miwili kuna timu zinataka kumlipa milioni 100 wakati huku kwetu hafikishi hata milioni 30
Huku huwa wanakuja wakiwa wanasikilizia michongo mingine ila kiukweli mazingira ya viwanja na uswahili kwenye soccer letu sio rafiki kwa makocha wazuri toka nje,Ngoja tuone maana hali mbaya ila Hawa makocha wa kigeni wanazingua kama yule van wa Simba alivyoondoka ni dizain kama hii
Kweli kabisa yaan kuna haja ya kutengeneza makocha wetuHuku huwa wanakuja wakiwa wanasikilizia michongo mingine ila kiukweli mazingira ya viwanja na uswahili kwenye soccer letu sio rafiki kwa makocha wazuri toka nje,
Hawa wa sub sahara wanaweza kumudu maana tofauti sio kubwa sana wote sisi ni wahuni tu ila mzungu na nchi zilizopiga hatua kwenye soka hapa wanakuja kuzuga tuKweli kabisa yaan kuna haja ya kutengeneza makocha wetu