Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
KOLO WIZARD FC KATIKA UBORA WAKO1. Mayele kukosa kiatu cha ufungaji bora
2. Sakho kushinda tuzo ya goli la kideo la CAF
3. Jezi zenye makaburi na daraja la Mfugale
4. Mkataba wa M-Bet kuwa mnono kuliko wa SportPesa
5. Manara kufungiwa
6. Senzo kumkimbia Morisson
7. Kocha Nabi kugoma kusaini mkataba mpya
YANGA WEWE UMEKUWA TANGU LINI