Sababu 7 kwanini Yanga hatuna raha

Sababu 7 kwanini Yanga hatuna raha

1. Mayele kukosa kiatu cha ufungaji bora

2. Sakho kushinda tuzo ya goli la kideo la CAF

3. Jezi zenye makaburi na daraja la Mfugale

4. Mkataba wa M-Bet kuwa mnono kuliko wa SportPesa

5. Manara kufungiwa

6. Senzo kumkimbia Morisson

7. Kocha Nabi kugoma kusaini mkataba mpya
KOLO WIZARD FC KATIKA UBORA WAKO

YANGA WEWE UMEKUWA TANGU LINI
 
Huku Tanzania makocha huja kuzugazuga akisikilizia mchongo wa nchi zinazoeleweka na kuwa serious kwenye suala la soka.
 
1. Mayele kukosa kiatu cha ufungaji bora

2. Sakho kushinda tuzo ya goli la kideo la CAF

3. Jezi zenye makaburi na daraja la Mfugale

4. Mkataba wa M-Bet kuwa mnono kuliko wa SportPesa

5. Manara kufungiwa

6. Senzo kumkimbia Morisson

7. Kocha Nabi kugoma kusaini mkataba mpya
Hiki ndicho kipindi pekee cha makolo kufurahi baadae ni vilio na lawama
 
Nabi kagoma kusaini mkataba mpya?
Inasikitisha sana timu yetu Simba kujikita na habari za kimbea msimu huu yaani tunaacha kujadili makombe yetu ya msimu uliopita ,usajili wetu na maendeleo ya kikosi kama misimu mingine.

Siamini kama tumefikia hatua mpaka za kuhesabu mbavu za ng'ombe wa Mayele kumuona Hamza kwenye Jezi za watani wetu kweli tumeishiwa sana mpaka kukosa vitu vya kujadili kiasi hiki?
 
Bora umekuwa mkweli, wenzio wanapiga kelele tu mkataba wa Simba na M- bet feki, wakiambiwa waweke original wanaleta makasiriko tu.

Nabi ameandaliwa mkataba mnono na FAR Rabat ya Morroco akarithi nafasi ya Sven, akiukataa atakuwa hajielewi.
Huyo Nabi hata akiondoka Yanga hii hata ukimleta Mkwasa bado ni hatari sana!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hawa wa sub sahara wanaweza kumudu maana tofauti sio kubwa sana wote sisi ni wahuni tu ila mzungu na nchi zilizopiga hatua kwenye soka hapa wanakuja kuzuga tu
Hao wanaofundisha soka Afrika huwezi wasikia wamepata timu Ulaya. Wanazunguka humu humu tu.
 
1. Mayele kukosa kiatu cha ufungaji bora

2. Sakho kushinda tuzo ya goli la kideo la CAF

3. Jezi zenye makaburi na daraja la Mfugale

4. Mkataba wa M-Bet kuwa mnono kuliko wa SportPesa

5. Manara kufungiwa

6. Senzo kumkimbia Morisson

7. Kocha Nabi kugoma kusaini mkataba mpya
Slogan ya byut byut
 
Back
Top Bottom