Sababu bilion nne za kumuua kinyama mrembo huyu

Sababu bilion nne za kumuua kinyama mrembo huyu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Mdada mmoja mrembo sana alikuwa kapewa talaka na mumewe akahamia nyumba
aliyokuwa kapanga CHEKA..... CHEKA alipomuona mpangaji mpya roho yote ikamtoka... Akajitahidi kila njia kumuonyesha kuwa nae yupo na ni bachela, mdada akawa anaendelea
na shughuli zake bila hata kuonyesha dalili za kumwona.... Jioni moja CHEKA akiwa kapumzika akasikia hodi kwenye chumba chake, alipofungua
akakutana uso kwa uso na mdada mpangaji, kapendeza sana na akiwa kavaa kimini cha
nguvu;
MDADA: "Samahani kaka, yaani nimekaa muda mrefu mpweke nimeona leo lazima nitoke
nikajirushe kidogo kisha nipate bwana niondoe uchovu. Vipi we uko free?!?!" CHEKA: "Aaaaah, mimi tena!!!! Mimi sana tu!!!! Niko free sina kitu chochote ninachofanya
jioni hii, yaani niko free kabisaaaaaa, si unaona mwenyewe niko free sina ishu kabisaaa!!!!
Tena hata mimi najisikia upweke upweke!!!!" MDADA: "Loh!!!! Nakushukuru sana kaka yangu, basi ngoja nikuletee watoto wangu
ushinde nao mpaka ntakaporudi!!!!"
 
Daaa! Kageuzwa mama wa nyumbani! Aaa
 
Ha haaa kitu cha kulea tena.mchz alijua zali
 
"hapana na mie nilikuwa natoka ila sina kampani naomba tutoke wote!
 
hao watoto wan umri gani? asije kumalizia hasira zake
 
Ha Ha Ha! Hizo ndo huwa zinaitwa kata maini. Sidhani kama alipata nguvu ya kuongea sentensi nyingine mbele ya mdada!
 
Back
Top Bottom