Sababu Fainali za CAF Kuchezwa nyumbani na ugenini

Hii hoja mm nakubaliana nayo,Geographia ya Africa ni mtihani na limited sana na miundombinu ndio hivyo ndio maana kusafir kwenda sehemu nyingine ni mtihani sana,

Wenzetu Ulaya ni rahis kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kwa treni chini ya muda usiozidi hata masaa mawili,Mfano watu wengi wanaofanya kazi Zurich,Switzerland wengi huwa wanaishi Paris,Ufaransa wanasafiri kwa treni
 
Mie mwenyewe nilikuwa najiuliza, why this, kumbe ndio hivi but sio sawa
 
Jana ilikuwa sababu mashabiki walipigwa marufuku ila waarabu kea timu zao pendwa ni vichaa hawana mbambamba kwenye kujaza viwanja hata Afcon iliyofanyika Misri ilikuwa watu shazi kwenye mechi zao ,na kombe la dunia morocco walikuwa wengi vilevile kutoa sapoti.
 
Hiyo mechi CAF wenyewe walisema watacheza bila mashabiki.
 
Ni kweli, Africa mashabiki bado ni changamoto. Mfano mechi ya jana (Al Ahly vs Esperance) tena nusu fainali kabisa naona inapigwa bila mashabiki, uwanja mtupu kabisa.
Labda kuna ban ya mashabiki, waarabu kwao huwa wanajaa
 
Fainal ya mwaka Jana ilikuwa mechi Moja tu kombe la shirikisho Wala msijitoe fahamu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…